Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nionyeshe mwiki hapo[emoji23][emoji23][emoji23]
Just imagine hapo kuna tarmac road lkn kupo hvyo je nkiingia ndani itakuwaje, ndo hv ss[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
Screenshot_2020-04-17-21-51-32.jpeg
 
Ss mm naongelea kisirani, bisha km hii co kasarani hapa utoki kudadadeki[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1525065
kasarani..ndio hio...we are not ashamed of our areas and we are not living in a denial...we accept critism so that we change our self..si kama nyinyi mwenye mukiambiwa mko na slum ya manzese..mnakata....
 
Yani hapo ukikaribia usikize story wanaongea, walai hutothubutu kurudi tena..
Mkuu ukitaka kujua km hao jamaa ni zero brain tembelea vijiweni km uko dar, yani nakwambia utacheka hadi mwisho utawaonea huruma..
Unajua ubishi uliopindukia katika masuala amabayo hayana mana..alafu hzo mada wanazobishiana sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
We acha2
Sasa mwanamke mambo ya Vijiwe vya Kahawa unayajulia wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kasarani..ndio hio...we are not ashamed of our areas and we are not living in a denial...we accept critism so that we change our self..si kama nyinyi mwenye mukiambiwa mko na slum ya manzese..mnakata....

Hawezi angalia video. Ana bundles kweli huyo. ataendelea kuokota vipicha tu.
 
kasarani..ndio hio...we are not ashamed of our areas and we are not living in a denial...we accept critism so that we change our self..si kama nyinyi mwenye mukiambiwa mko na slum ya manzese..mnakata....
Edward Wanjala umeona uchafu huu, hii c ni km India kwenye zile slums au Lagos au Soweto,, ss nadhani tumemaliza ubishi kwamba kisirani ni chafu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
kasarani..ndio hio...we are not ashamed of our areas and we are not living in a denial...we accept critism so that we change our self..si kama nyinyi mwenye mukiambiwa mko na slum ya manzese..mnakata....
Tz hakuna slums km unabisha c ulete published proof km cc tunavyowaletea!
 
Back
Top Bottom