Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,430
Wewe huoni kwamba hivyo ni vifusi!? Kulikuwa na nyumba ndogo kando na hizo post za umeme lililoangushwa. Amevitumia tu kujaza mabonde kwenye hiyo road reserve. Kutakuwa sawa tu baadaye wakifanya landscapingTOWER INATAKA KUAMKAAAAAA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh, Sawa Mkuu Wanjala , sasa hapa kuna nini ambayo imekua Demolished. ( Ukiangalia hayo majani pembeni hamna dalili yoyote kama kulikua na structure yoyote hapo. BTW, Kwa majibu haya Tunajifunza mengi sana .
View attachment 1518394
Akili huna, naona wewe ni yule yule Ichoboy na akaunti nyingine. Kama siye basi wabongo hamna hongo.Funga bakuli pita kulee....maneno yako pelekae pimbi wenzio ....unajib fact kwa maneno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382][emoji382]slum ....
Ndio rangi izi..ulimanisha?...watembea kwa miguu wanapita njia moja n magari....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382] ujinga mtupuView attachment 1518155
Hivi unadhani lisu anaweza kuwa raisi,na una amini kabisa. ..aisee kuna watu hapa duniani wanaishi tu ilinradi siku ziende,siku ukikua utajua hii nchi ipojePamoja na vitisho vyote vya policcm bado watu wameenda kumpokea mwamba,tunamsubiri huku mikoani tumdekie barabara
Hakuna kama Lisu mtetezi wa haki na shujaa wa kweli wa kunyoosha Yesu wenu wa hapo Lumumba
Wala usijitoe ufaham onyesha upande huuu[emoji116][emoji116][emoji116]Akili huna, naona wewe ni yule yule Ichoboy na akaunti nyingine. Kama siye basi wabongo hamna hongo.
View attachment 1519110
Eti sidewalks iko upande moja kule kwingine ni mtaro wa maji ...alafu uko confortable unaleta hapa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382]Akili huna, naona wewe ni yule yule Ichoboy na akaunti nyingine. Kama siye basi wabongo hamna hongo.
View attachment 1519110
Hizi ndio vitu unatakiwa kujifariji nazo [emoji3][emoji3][emoji3]Kajiado Kenya. The Nairobi Metro Sprawl continues
View attachment 1519129View attachment 1519130View attachment 1519131View attachment 1519132
Hebu tuone kama kuna ukweli hapa Sandton hii hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Upperhill Nairobi Kenya, will overtake Sandton South Africa in the coming few years after all road projects are done
View attachment 1519136View attachment 1519137View attachment 1519138View attachment 1519139View attachment 1519140
Hii Sandton ndo kuna watu wanataka kufananisha na jiji lililojaa pori kushoto kulia na vighorofa viwili vitatu vikichagizwa na uchafu kila kona, wacheni upumbavu.Hebu tuone kama kuna ukweli hapa Sandton hii hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1519172View attachment 1519173View attachment 1519174View attachment 1519175View attachment 1519176View attachment 1519177View attachment 1519178
Uhuru's petty project! Ur Corona money From WB and IMF is being diverted to here!There is an Industrial City under construction in Juja Nairobi Kenya called Northland City
View attachment 1519158View attachment 1519159View attachment 1519160View attachment 1519161View attachment 1519162View attachment 1519163View attachment 1519164