Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

iringa bus stage👇👇👇
7509AC9F-727F-4CD0-A2BB-8A34A27BC51F.jpeg
3A7B3AC2-6D20-4EC3-BFCF-80159395556E.jpeg
25EE48D9-9D12-46D9-A06D-CE9A6F5A8195.jpeg
 
Kuumbuka vipi na kitu kipya kimeanguka hicho, jiulize kwnn uli search ukakosa..

Lete hyo habari ya 2012 tuione kuhusu hyo ajali we bwege...uhuru wa habari muutoe wapi bana
Hebu tuletee hapa ushahidi kwamba hyo ajali imetokea wkt huu wa Magu, huwezi pata.

Iko hivi; ajali ni kitu cha kawaida na kipo cku zote za maisha yetu lkn co ajali za kipuuzi na za kujitakia km zinazotokea kwenu, mnanunua madege ya WW2 matokeo yake mnaua ndg zenu kila siku fool.
 
Do all “affluent” areas in Nairobi have English names?? From Lavington to upperhill to westlands to Karen 😂😂😂😂 you mfs are Clowns. Kenya has never been independent from external rule. Period. No representation ya Local names kwenye posh places. You only have such names in low income areas like Kibera, mathare and kawangware. Y’all bitches are dumb af.
 
Ila wakuu tuache masiala nyota ya Tz imewaka sn huu mwaka, yn hakuna nchi imeongelewa sn ukanda huu km Tz aisee nathubutu kusema hata kwa Afrika tunakimbiza kwa kuzungumziwa, yn hii itatusaidia sana kwenye sekta ya utalii, watu wengi wameijua Tz huu mwaka.
Daah,mimi huwa nafikiriaga mpaka chozi la furaha lanitoka.
 
Do all “affluent” areas in Nairobi have English names?? From Lavington to upperhill to westlands to Karen [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] you mfs are Clowns. Kenya has never been independent from external rule. Period. No representation ya Local names kwenye posh places. You only have such names in low income areas like Kibera, mathare and kawangware. Y’all bitches are dumb af.
Local names wameyapa slums!
 
Mi naona hata majengo mafupi dodoma yatapendezea ila wajitahid kwenye mpangilio tu

mfn hii n parisView attachment 1515233
Ni wazo Zuri sana. Wajenge majengo mafupi kwa mpangilio lakini wachague district moja ambayo watajenga majengo marefu. Miji mingi ulaya ina majengo mafupi kwasababu wao wameanza kujenga majengo ya aina hiyo kabla ya teknolojia ya kujenga majengo marefu haijafika. Na kwasababu Dodoma ni prone kwa matetemeko, majengo mafupi yatapunguza uzito wa athari ya janga kama likitokea. Na pia kwasababu kutakuwa na sehemu moja tu ya kujenga majengo marefu, serikali itahakikisha kuwa wawekezaji wanafuata kanuni za ujenzi wa misingi imara ya majengo marefu itakayoweza himili majengo hayo kukitokea tetemeko.

For instance, La Defense district in Paris has numerous skyscrapers
CAF764B6-F5BA-4C7B-B0F9-1404F6396249.jpeg


Frankfurt’s financial district in Germany has skyscrapers as well
EA93942E-34A8-41BB-8100-9FA695F9E88F.jpeg
 
Ila wakuu tuache masiala nyota ya Tz imewaka sn huu mwaka, yn hakuna nchi imeongelewa sn ukanda huu km Tz aisee nathubutu kusema hata kwa Afrika tunakimbiza kwa kuzungumziwa, yn hii itatusaidia sana kwenye sekta ya utalii, watu wengi wameijua Tz huu mwaka.
Kweli kabisa Magu ametengenenza the butterfly effect na hawa wakenya wanaendelea kutupa publicity bila kujua. Wanasahu kuwa there is no such thing as bad publicity.
 
Back
Top Bottom