Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1594387830089.png
 
Huyo si wa kwanza omba omba kutoka Tanzania wamejaa miji ya Kenya, sishabikii binadamu mwingine akipitia matatizo kama hayo ila nyie kwa kupenda kuishi in denial mnaonesha mlivyo wapuzi na wanafiki
Sasa sisi tunaaminije kuwa huyo ni mtanzania
 


Alafu hii kazi wamegewa makampuni makubwa kabisa ya China....hii CCECC imeonesha moto wake kwenye Interchange ya Ubungo yupo mbele ya Muda katika kuimaliza ile interchange na ndie aliyegewa daraja la Busisi ( daraja refu in east africa crossing water body).

Hii AVIC INTL Project Eng co.ltd ni kampuni ya hatari iliyofanya maajabu ya miradi mikubwa kule China asa kwenye upande super highways za China na pia ina viwanda vikubwa vya kutengeneza mitambo.

Hakika kwa upande wa kuchagua mkandarasi walituliza vichwa.
 
Jkia-James Gichuru Expressway ni mradi tofauti na Nairobi - Mombasa Expressway.

Jkia to James Gichuru inajengwa na China CRBC na hii ya kwenda Mombasa ni USA (betchel)
Okay, acha tutaona updates za ujenzi vile muda unaenda.

But you guys again mmechemsha sana, siku hizi watu hawajengi mabarabara ya juu. Ni old fashioned hiyo. Kwanza zina haribu view ya mji na kushusha thamani ya majengo kule inapita. Saiv watu wamejikita kwenye BRT na Trams ili kupunguza congestion na matumizi ya private vehicles barabarani.
 
Okay, acha tutaona updates za ujenzi vile muda unaenda.

But you guys again mmechemsha sana, siku hizi watu hawajengi mabarabara ya juu. Ni old fashioned hiyo. Kwanza zina haribu view ya mji na kushusha thamani ya majengo kule inapita. Saiv watu wamejikita kwenye BRT na Trams ili kupunguza congestion na matumizi ya private vehicles barabarani.

Waambie hao walikuwa hawajui hilo...mambo yanabadilika kwa kasi sana
 
Ule jamaa mwenye nundu kichwani alikataa wasichana wajawazito wasirudi shule. In Kenya we do it different. Kila MTU ana haki. View attachment 1502573
mnaishi kwa matakwa ya wame zenu wazungu hivyo lazima mkubali lolote wanalolitaka.......mkigoma mtakufa njaa mara mbili ya sasa hamna ujanja

hiyo ndiyo tofauti ya Tz na kunya band
 
Msichana ata apate mimba 10 ana haki ya kusoma.
Ukipata MTU yeyote anakwambia otherwise anakosa ubinadamu.
leo ndiyo mnaujua ubinadamu, miaka yote mlikuwa wapi...? au mlikuwa hamjui kuwa ubinadamu una nafasi
 
Back
Top Bottom