Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi




EcfKWlqWAAExAiA
 
Hahahaaa mmeumia sn I know, but u shud swallow it kwmb sgr Kenya is congruent to our mgr do u know the meaning of congruent figures? Hehehehehe, basically they are congruent, based on speed, physical infrastructures and so fourth they are congruent [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Bro, ulisomaga Number theory nini?
 
kwahiyo iwe slum kama Nairobi sio? mie nataka iwe sustainable megacity!


Megacity ndiyo inayozalisha slums, kwa maana Megacity inatokana na ongezeko kubwa la watu kutoka Mikoani ambapo wameshindwa kupata fursa huko na hivyo kuhamia Mjini, sasa hivi Dar tayari ina tatizo kubwa la sehemu ya kuishi, watu ni wengi kuliko nyumba au niseme wengi hawana uwezo wa kumudu kupanga nyumba kwa maana hawana kazi, hivyo hapo slums haitozuilika.

say no to megacity!
 
Sisi hatubishani na ukweli ata Siku moja unlike CCM Tanzanians wenye hawamiini Kenya iko na GDP ya $100b but the same world bank ikisema Tanzania wako middle income wanaamini.... wakisema Kenya INA GDP ya $98b wanakataa

Its crazy [emoji23][emoji23]
and debt to GDP ratio is 70% where is the economy 😂😂😂
 
Back
Top Bottom