Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Propaganda ya CCM naona imetamba ubongolala kabisa na kuwafanya mazuzu.
According to Kenya Land Act. Any Kenyan citizen can own land anywhere in Kenya.
Eti propaganda!

Hayo wala sio maneno yangu...ni maneno ya msanii wenu,

Utapinga sana ila huo ndio ukweli.
 
Hivi hii interchange na lile flyover ya mfugale ipi ni nzuri na complex? mbona hatukusikia makelele kama awamu hii? Bado sijaona kipya awamu hii na bado swali langu halijajibiwa..Toka 2015 ni mikoa gani imeunganishwa na lami za barabara kuu?
Nadhani majibu unayo sioni haja ya kukujibu
 
Kwenye ukweli tunasema ukweli hiyo sio SGR ni MGR.hadi Ethiopia wamejenga sgr ya umeme.nendeni na wakati
Kwa kukosa hoja na kuPinga ukweli tumewazoea. Ata ungeiita cape gauge ufurahishe nafsi yako.
Kwa hiyo na wewe kabisa unasema hiyo reli yenu ni sgr
 
IMG_20200709_074013.jpg
 
Propaganda ya CCM naona imetamba ubongolala kabisa na kuwafanya mazuzu.
According to Kenya Land Act. Any Kenyan citizen can own land anywhere in Kenya.
According but not reality. Hivi kenyata , moi na odinga wana asilimia ngapi ya ardhi kenya?
 
Back
Top Bottom