Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

CBD
tapatalk_1594290746264.jpg
 
Hivi hii interchange na lile flyover ya mfugale ipi ni nzuri na complex? mbona hatukusikia makelele kama awamu hii? Bado sijaona kipya awamu hii na bado swali langu halijajibiwa..Toka 2015 ni mikoa gani imeunganishwa na lami za barabara kuu?
Wewe ni Mkenya, Mambo ya Siasa za Tanzania yanakuhusu nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom