komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Kenya hakuna masoko na hospitali sioKila nchi inamipango yake, ndiyo maana sisi tumejenga BRT, masoko, hospitali na stendi za mabasi wakati nyinyi hamna.

Kenya hakuna masoko na hospitali sioKila nchi inamipango yake, ndiyo maana sisi tumejenga BRT, masoko, hospitali na stendi za mabasi wakati nyinyi hamna.

Leta picha ya masoko mapya yaliyojengwa.Kenya hakuna masoko na hospitali sio![]()
Free trade na nchi masikini, wakati hata NAFTA yenye nchi washiriki zenye uchumi wa trillions ($$) hawaitaki?Soon kitaeleweka
Vitu gani hvo? Hiyo esijiara mchwara ya kupitishia Gari moshi,na hizo ndege ni zenu ama ni za wanaume?Mabwawa ya umeme hatukuanza juzi, km ni matanki hatukuanza jana ku install
Sgr ni sgr na tuliwatangulia
Eti sijui flyovers tulipita kitambo, ndege pia vile vile..foot bridge pia tuliqatangulia, highways vile vile..
So msijione eti mna maendeleo kibao basi eti na sisi lazima tufanye, never.. vitu vingi tulishafanya kitambo
Tena huku kwetu vimeshaanza kufanya kazi tayri...
Kwhyo hatuwezi fanana hata siku moja
Simon wacha mambo yako utaua watu humu kwa presha

Hahahaha nafurahi kuona kuna vitu umeviruka, jamani WaTz mmeona ss huyu karuka baadhi which means hakuna kitu ipo kenya zen bongo hamna but kuna vitu bongo vipo ila kenya hamna, raha kudadadekiMabwawa ya umeme hatukuanza juzi, km ni matanki hatukuanza jana ku install
Sgr ni sgr na tuliwatangulia
Eti sijui flyovers tulipita kitambo, ndege pia vile vile..foot bridge pia tuliqatangulia, highways vile vile..
So msijione eti mna maendeleo kibao basi eti na sisi lazima tufanye, never.. vitu vingi tulishafanya kitambo
Tena huku kwetu vimeshaanza kufanya kazi tayri...
Kwhyo hatuwezi fanana hata siku moja

Watatuambia tu Tanzanite walikuwa wanazitoa wapi, Avocado walikuwa wanazitoa wapi lazima watuambieafu mtu anasema hakuna faida ya kujengwa masoko ya madini na kuanzishwa kwa viwanda vya kusafisha madini nchini

So what is ur concern? We have built sgr line of about 500km so far, so do u believe that we can fail to build sgr line from the main station to the port which is absolutely less than 1km? Can u imagine? U must be crazy to believe that foolish my friend.SGR ya Kenya imeingia hadi bandari na inafanya kazi.
wanasubiri mpoe kwa wenge na mihemko maana makelele yamezidi sana kana kwamba Tzn ndio ya kwanza kuingia mido inkamuTangia tz alivyoingia kwenye middle income sijaona mkunyaland hata mmoja anayebisha.
Tutaheshimiana mwaka huu na bado 2020-2025.
siku utapata construction board mm nafunga acc jamii forum mark my words😂😂😂😂