Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

11697298_mg7748_jpegb47755d7a6fc5dfe97f49f74f2456560.jpg
11703854_2235484img20191209084144_jpeg4614be5c47dbbfa43734d66bb74209b4.jpg
 
[ATTACH=full]1497706[/ATTACH] https://twitter.com/tboundbuses/status/1279416713503748096?s=21View attachment 1497707
View attachment 1497708

Kenya mpaka ije kufika hapa ni miaka 100 ijayo...wenyewe utasikia Nairobi, tutajenga stendi nzuri wapi, utasikia Nairobi.

JPM akimaliza stendi za Mikoa, atahamia za ndani ya miji hapa atakuwa amefunga ukurusa kwenye hyo section
 
Planning in Kunyaland vs real construction in Tanzania!

Alafu ni Nairobi, yaan hawa jamaa Nairobi kwao ndo Nchi...This does not take a rocket science to know kuwa miaka ijayo Nairobi utacheua watu yaan itakuwa the most populated city in the world maana counts zote za Kenya zitaenda Nairobi kufuata huduma maana kwenye counts zao hazifiki.
 
Alafu mtu anakuja eti oohh wakati wa Mkapa na Jk per capita ilikuwa inaongezeka kwa rate kubwa kuliko huyu, wehu kweli hawa hzo per capita cc zilitusaidia nn zaidi ya kushuhudia ufisadi uliotapakaa, naomba waelewe kwamba cc hatutaki hzo cjui per capita cjui utumbo gn wabaki nao wenyewe but cc tunataka kuona tunajenga reli cc wenyewe, umeme haukatiki katiki, tunajenga flyovers kila pembe, tunanunua ndege za kutosha, tunajenga hospitali kila kona ya nchi, tunajenga masoko na stand za kisasa, tunajenga mabwawa ya umeme kwa kadri tunavyoweza, tunajenga barabara za kiwango cha juu na co zile barabara white zao, hayo mambo cjui per capita income cjui mautumbo gn wabaki nayo wenyewe.
Wacha wahare kwa mdomo, nchi inasonga mbele,JPM hayuko kumfaraisha mtu yoyote zaidi ya MTz.
 
Back
Top Bottom