Mkuu naomba ufafanuzi kuhusu hii picha maanake imenichanganya ,ndio kitu yenyewe rasmi mkuu?
Ww Geza mbn unakuwa mbishi? Umeambiwa Dodoma hapatajengwa towers over 15 kwnn unabishana na wataalamu mkuu, ingepaswa ulete ushahidi kwamba kuna miji ambayo ni earthquake zones lkn kuna high towers then ndiyo tu doubt kwnn Dodoma icwe na over 15.
Wote wako sahihi, kuna miji mingi tuu yenye matetemeko kama Kobe, Japan au San Fransisco, USA ila kuna majengo marefu sana.Kwa nijuavyo mm ni kwamba Dodoma hapatajengwa majengo marefu ss huenda sina information kamili, pengine ndiyo naskia kutoka kwako kwamba kuna areas for high rise buildings.
Ziko wapi hizo project za kushindana na Tz c mziweke humu tuone zen tulinganishe thamani ya hizo miradi? Mlikuwa wanyonge cz daily tunawachapa na projects mpya za Tz mpk mlipopata fununu kwamba Mchina atawajengea xpresway na kukukalieni kwa miaka 27 ndo saizi japo mmezinduka yn cc tunaleta miradi zaidi ya 20 nyie mmeng'ang'ana na xpresway, yn wakenya wote mmebaki kupiga kelele na kujipambanisha na Tz kisa hyo barabara a.k.a the biggest new whiteBut si kuliko Kenya




Ndio Umeongea Nn Sasa Hpo?Hii ata inachapwa na ngara
Maendeleo au vitu ambavyo tulifanya tayariZiko wapi hizo project za kushindana na Tz c mziweke humu tuone zen tulinganishe thamani ya hizo miradi? Mlikuwa wanyonge cz daily tunawachapa na projects mpya za Tz mpk mlipopata fununu kwamba Mchina atawajengea xpresway na kukukalieni kwa miaka 27 ndo saizi japo mmezinduka yn cc tunaleta miradi zaidi ya 20 nyie mmeng'ang'ana na xpresway, yn wakenya wote mmebaki kupiga kelele na kujipambanisha na Tz kisa hyo barabara a.k.a the biggest new white![]()
![]()


Tofautisha kati ya mji wa serikali na mji wa kibiashara.Huo utakua ushamba. Hatuwezi kuwa na capital city ina vijengo kama mabweni.
Kila nchi inamipango yake, ndiyo maana sisi tumejenga BRT, masoko, hospitali na stendi za mabasi wakati nyinyi hamna.Maendeleo au vitu ambavyo tulifanya tayari
Hzo expressway itawachukua sijui miaka mingapi kuzipata
Sasa wataka kumaanisha hapa Kenya hatijengi masoko na hospitality,hahahahahKila nchi inamipango yake, ndiyo maana sisi tumejenga BRT, masoko, hospitali na stendi za mabasi wakati nyinyi hamna.
Leta picha...Sasa wataka kumaanisha hapa Kenya hatijengi masoko na hospitality,hahahahah
Vitu gn hvyo mlivyofanya tayari? Treni za umeme au bwawa kubwa la kisasa la umeme au matanki makubwa ya kuhifadhia maji au stendi kubwa za kisasa? Ebu kuwa specific unaongelea maendeleo gn mliyofanya mpk mseme hamuhitaji maendeleo tena au mlishamaliza kujenga ferries au tayari mna meli za kisasa pale Mombasa? au BRT? au mshamaliza kujenga masoko ya kisasa nchi nzima? Je mna maghala makubwa ya kutosha kuhifadhi chakula? Hebu tuambieMaendeleo au vitu ambavyo tulifanya tayari
Hzo expressway itawachukua sijui miaka mingapi kuzipata


chang'aa inakuisha pale unapokuja kugundua hayo yote niliyoyataja yapo Tz ila kenya hamna, kweli Tz baba laooo 


Tanzania Baraka zinamiminika huku zingine zikitusurprise, hapa wanajenga bus terminal wanakutana na mkondo wa maji
Weka sawa sema diesel esijiaraaaSGR ya Kenya imeingia hadi bandari na inafanya kazi.





Kenya hakuna sgr ww wacha uongo, kwa ukanda huu sgr ipo Tz na Ethiopia tu.SGR ya Kenya imeingia hadi bandari na inafanya kazi.
Mkuu naomba ufafanuzi kuhusu hii picha maanake imenichanganya ,ndio kitu yenyewe rasmi mkuu?