Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,300
- 33,628
Ulikuwa unasena nini sijaskia vzrAfghanistan.









...wangefanya sherehe.....ila iyo inafwata ni mogadishu for real



Nyumba zinahesabika,naona sita hahaha
Duh hiyo picha👆👆👆👆imechukua nairobi yooote,hakijaachwa kitu..nairobi is very narrow and tinyNairobi ya 70s iyo hii upper hill ata hakuna cbdView attachment 1500861
Wao,kilimani is lit,,nilioitia huko nakaona over fifteen high rise buildings under construction,by 2022 itachapa westlandsIvi karibuni itakuwa kilimani Vs darView attachment 1500811View attachment 1500820
Ni makosa tu yaliyofanywa na viongozi wetu huko nyumba ndio maana Kenya ikawa kinara wa uchumi katika ukandaa huu wa afrika mashartiki kwa miaka kadhaa iliyopita. Kama viongozi wetu wataendelea kuwa serious na kuwa na maono makubwa kwa nchi yetu naamini kwa rasilimali tulizonazo hakuna nchi yoyote katika ukanda huu wa afrika mashariki inaweza kutuzidi kiuchumi. Tuna rasilimali nyingi mno tatizo ni usimamizi wa hizi rasilimali ili zilete tija kwa taifa letu.Miaka miwili nilisema tena tutakuwa tunakimbiza Africa...mimi sioni mpinzani Ukanda huu.
Ila awamu ya nne ndio iliyotuangusha sana,huko kwingine naweza sema walikuwa wana weka mfumo imara.ila tunaye Jemedari yeye anfanya y awamu zote kwenye Awamu moja tuu..blessed JPM.Ni makosa tu yaliyofanywa na viongozi wetu huko nyumba ndio maana Kenya ikawa kinara wa uchumi katika ukandaa huu wa afrika mashartiki kwa miaka kadhaa iliyopita. Kama viongozi wetu wataendelea kuwa serious na kuwa na maono makubwa kwa nchi yetu naamini kwa rasilimali tulizonazo hakuna nchi yoyote katika ukanda huu wa afrika mashariki inaweza kutuzidi kiuchumi. Tuna rasilimali nyingi mno tatizo ni usimamizi wa hizi rasilimali ili zilete tija kwa taifa letu.