Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kunyaland mjiandae bado gap chache hapo tutawafuta kwenye ramani
IMG_20200704_165205.jpeg
 
Kwa kweli hizi picha za Nairobi sizipopigwa msasa (filter) zinaonyesha hali halisi ya majengo ya Nairobi yalivyochoka utadhani chuma chakavu! [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Hivi mara ya mwisho TZ kufanya rebase ni lini?...nataman baada ya miradi yote ya mkakati kumalizika ndo tufanye rebase. Tutatetemesha Africa nakwambia.
 
Back
Top Bottom