The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Kijana unajua maana ya underpass?
Kama hii ni underpass basi hata nyumba unayoishi ni undershelter
Sijaona barabara iliyopita CHINI YA ARDHI mpaka uite underpass wala hata juu ya hicho unachokiita underpass hakuna treni wala magari wala pedestrians wala ndege inayopita juu ya hiyo structure
Saa nyingine ni kujua tu simple English terminologies sio mpaka uwe mhandisi wa ujenzi.
Kwakweli nimegundua hawa jamaa ni wahuni sn, yn hawana interchange wala underpass hata moja, nimeamini baada ya kuleta zile renders za hyo miradi hakuna sehemu wameandika interchanges, Wana miundombinu ya kizamani mno, cc tulikubali hatuna hzo vitu now tunajenga kwa kasi ili kuendana na majiji ya kisasa wao wanajifariji na miundombinu ya kizamani kweli washafeliHajapost interchange hata 1
Ni junctions 3
Wewe umeona interchange hapo?







