Mtungi wa chang'aa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]watajua hawajui [emoji23][emoji23][emoji23] tano tena
Tutamfunga ndaaaniHaya sasa, aliekuwa anataka kupiga dili mererani nadhani ameipata test ya kitakachomtokea. Huyo kavusha kukwepa kodi, so imagine ukamatwe unamtorosha Tanzanian gemstone princess
Kenya najua wanatamani sana...lakini najua wakituma maombi...yanakuwa rejected....SA hawajasahau jinsi walivyosupport Apatheid
watajua hawajui [emoji23][emoji23][emoji23] tano tena
angalieni hizi video... kumbe Kenya’s SGR ni China’s slow speed train
hata ticket zinazotumika kenya ndo hizo zipo kwenye train za china zinazoenda mwendo mdogo
View attachment 1492029View attachment 1492031View attachment 1492032View attachment 1492033
body ya nje ni ileile [emoji23][emoji23]
View attachment 1492035View attachment 1492036View attachment 1492038
interior
View attachment 1492046View attachment 1492048View attachment 1492049

Hizo ndio unaweza lala siku mbili Huko China unapiga safari. [emoji23] . Wanaziita K, Ukitofautisha na zile za D na G.
K hiyo
View attachment 1492080
D hii hapa
View attachment 1492082
G hii hapa
View attachment 1492083
Hiyo K kama ni iphone basi iphone 5 [emoji23].