Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,915
- 103,782
Watu wengine huropoka tu bila kutafuta facts!Hapana,Tsh.trillioni mbili makusanyo kila mwezi,kama ni kwa mwaka,ina maana kila mwezi ni ngapi?
Watu wengine huropoka tu bila kutafuta facts!Hapana,Tsh.trillioni mbili makusanyo kila mwezi,kama ni kwa mwaka,ina maana kila mwezi ni ngapi?
Nieleweshe mkuu,huenda nimechanganya mafaili,japo nimetumia neno "almost"Watu wengine huropoka tu bila kutafuta facts!
Mimi nakusupport namaanisha wanaosema Tshs 2trln kwa mwaka! Sidhani kama hupitia bajeti!Nieleweshe mkuu,huenda nimechanganya mafaili,japo nimetumia neno "almost"
Mawazo yako sawa kabisa na mimi. Lile jengo lashirika la posta pale mjini kati linatakiwa liondolewe limekuwa dwarf mno na la kizamani pia na limechukua nafasi kubwa.Hapa Posta mpya panahitaji tower la maana haswa hiki kiwanja cha Tanzania Postal corporation! Tanzania Postal corporation needs to up their game! Hata upande wa Embassy Hotel kunahitaji tower ya maana!
Bwahaha!!last year ilikua 75%umeshindwa kuzuia hasira
note that
phase one 300km = 80%
phase two 422km = 38%
the modern electric train in africa

Baada ya Uganda kukataa kutumia SGR ya kichina
Kenya offers discounts for Mombasa-Naivasha SGR freight service

kweli ni vituko siku ya kufa nyani miti yote huteleza....Watabeba hadi bure,white Elephant itawaua!Baada ya Uganda kukataa kutumia SGR ya kichina
Kenya offers discounts for Mombasa-Naivasha SGR freight service
Sidhani kama Uganda watakubali hata wakiambiwa wasafirishe bure, "White elephant"Watabeba hadi bure,white Elephant itawaua!
Baada ya Uganda kukataa kutumia SGR ya kichina
Kenya offers discounts for Mombasa-Naivasha SGR freight service

we jamaa ni mkorofi sana.....
Nakuja uko mkuu, the real middle Income country