Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You know wacha kujifanya, pitia thread ya Nairobi humu., Dar haitowai fika level moja na Nairobi, infrastructure, socio-economic and political. Never, only in your skewed mindset. Yani Dar itabaki kua ahead ndani ya fikra zenu, sio kwa uhalisia.
 
point of collection Wanjala ndio mkenya muongo zaidi humu na yeye ndio muasisi wa kuleta picha za nchi zingine na kusema ni Kenya

huyu sipati picha jinsi anavyowadanganya watoto wa awali hapo shuleni
Umeona ss jinc walivyowajinga yn mpk Mwalimu wanjala naye muongo, bado tu hawajastuka kwamba this is not nairaland
 
point of collection Wanjala ndio mkenya muongo zaidi humu na yeye ndio muasisi wa kuleta picha za nchi zingine na kusema ni Kenya

huyu sipati picha jinsi anavyowadanganya watoto wa awali hapo shuleni
P of correction
 
Back
Top Bottom