President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,766
- 89,791
Tatizo lako huna exposure.Kinoru stadium, Meru County.View attachment 1489013
Tatizo lako huna exposure.Kinoru stadium, Meru County.View attachment 1489013
Wajerumani wamekuja kukagua wameona Tanzania no salama.
Wakenya wanadhani tunaigiza...Serkali yetu inapenda WANANCHI wake kuliko Nchi yoyote Africa.Wajerumani wamekuja kukagua wameona Tanzania no salama.
Sorry. Keyboard imebadili. Ngoja niirudishe kwenye kiswahili.Unaandikaje? No salama? ? Hivi huwezi kuhakiki unachoandika?
Hiyo road nayo rangi yake huijui???..barabara za morogoro are brown in color kama za nairobi..so sadTanzania sidhani hata kama kuna city yoyote isipokua hii fishing village huita cityView attachment 1488769View attachment 1488770
wewe umewahi?Hivi ushawahi kuzungumza zuri lolote la Tanzania,nakuonaga we ni kupinga tu kila kitu kinachofanywa na serikali ya Tz
sitaki hadithi nataka utekelezaji,Magu ana jipya gani ambalo wengine hawakufanya? hizo pambio muimbage huko chumbani kwenuDuh kweli kila mtu na mtue, yn unathubutu kumlinganisha Magu na Kikwete kwenye sekta ya miundombinu, umesahau kwamba hizo km alizojenga Kikwete nyingi humo ni maono ya Magu, soma kitabu cha Mkapa utaelewa namaanisha nn, btw hebu tuwekee uthibitisho hapa kuhusu hzo unazosema zaidi ya km 8500 za Kikwete mana usiongee tu km tupo kwenye kibanda cha kahawa.
hahaha ushuzi wa mende 😂😂😂 iko wap constructionThat was phase one., construction on going
hiyo ya mzee baba naona bado ni raw!!!!nafikiri hiyo station imereflect kwa hii iliyokuwa cut na polished already!!!!Tanzanite Station View attachment 1488688
Nairobi ya miaka gani hii haina cbk tower na parliament towers?