Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mm mwenzenu cjui kwnn huwa siwazi kabisa competition na haya majiji ya EA, mm akili zangu zipo joburg au Tunis yn tukikaribia hapo kidogo akili yng itatulia lkn co mtu aniambie ushuzi wa haya majiji ya East Afrika yn ctokuelewa kabisa, hebu angalia huu uchafu
tapatalk_1583934630599.jpeg
tapatalk_1583934625351.jpeg
tapatalk_1592734184369.jpeg
tapatalk_1582998879114.jpeg
tapatalk_1582998884108.jpeg
tapatalk_1582998873318.jpeg
tapatalk_1582998857449.jpeg
 
s

good but mtindo wa kujenga single lane na surface dressing umepitwa na wakati na ni outdated..barabara za mijini ziwe dual carriage na ubora uhamie asphalt
Pili kwa ukubwa wa mtandao wa barabara Tzn hiyo idadi ni ndogo saaana na kasi ni kiduchu mno
Hivi ushawahi kuzungumza zuri lolote la Tanzania,nakuonaga we ni kupinga tu kila kitu kinachofanywa na serikali ya Tz
 
imagine upo kweny ndege angani then unakutana na view kama hii.. na pemben kidogo kuna bahari
View attachment 1486147View attachment 1486148View attachment 1486149View attachment 1486150View attachment 1486151View attachment 1486152

the station looks something like a very massive object fallen from international space above

SGR Dar - Moro 80%



nimependa alivyoongea hapo mwisho kuhusu ukiwa angani, maneno yake yanashahabiana na nilivyoandika hapa
 
Back
Top Bottom