Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

569A6606-6C26-4B97-8C1F-B783A41D2C90.jpeg
 
Yaan hilo swala la mtanzania kuwa billionaire baada ya kuuza mawe yake ya Tanzanite imewauma sana wakenya.

Yaan vyombo vya habari hata kuripoti vimekaa kimya wakati vyombo vingine vya kimataifa vinaitangaza vyema habari hii na kuidhihirishia dunia kuwa Tanzanite ipo Tanzania na inawanufaisha wazawa.

Subiri habari mbaya itokee yaan vyombo vya habari vya kenya vinashindana jinsi ya kuifanya habari hyo iwe viral.
 
Yani ka ukumbi kama hako ulinganishe na Jakaya kikwete youth Park!?
What is special there that is not in Sultan's base(Mombasa)?., Ali Hassan Joho built several not one.., Mombasa na Dar ziko sako kwa bako.,
 
Corruption bail$ sums in a middle income country...
Hii ukiweka kwa pesa za madafu unamaliza kile kipande cha SGRr Dar-Moro kilichokwama
Screenshot_20200625-203421.jpg
 
dah nikikumbuka haya madini wakenya na india ndo walikuwa wauzaji wakubwa napata hasira sana
tukiachana na mambo ya kisiasa. kweny ishu ya haya madini uncle Magu kafanya jambo la maana sana.
Hii ni victory kuna saa nikimsikia Magu anaongea machozi yananitoka....ameirudisha fahari yetu.kama Mwenge Uangazapo Africa na kuonekana HAKIKA Tanzania itaongoza kiuchumi,kama Twiga aonavyo Mbali,tutaona mbali kuliko Taifa lolote Africa
Mungu Ibariki Tanzania.
 
A good hope, a prudent desire, I wish you success in this. It is every nation's desire, even Somalis, people of Chad, CAR, and also DRC among others they too desire to have peace and prosperity, wish others well too.
Unfortunately wishes and desires at times hardly happen but it is good to hope. Never lose it. Good night
Hii ni victory kuna saa nikimsikia Magu anaongea machozi yananitoka....ameirudisha fahari yetu.kama Mwenge Uangazapo Africa na kuonekana HAKIKA Tanzania itaongoza kiuchumi,kama Twiga aonavyo Mbali,tutaona mbali kuliko Taifa lolote Africa
Mungu Ibariki Tanzania.
 
Back
Top Bottom