Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa sasa wanajenga zaidi asphalt ,pili hata mijini single lanes zinahitajika though major roads zote zafaa ziwe dualcarriage na nyingi ndio ziko hivyo ...speed ni ndogo kutokana na uwezo ukizingatia tunajenga reli ya sgr, bwawa kubwa la umeme pamoja na miradi mingine hela zote zinatoka kapu moja!!

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Huwa nawaambia katika sekta ya barabara Magu kachemsha maana 5yrs only 3500km manake na miaka mingine 5 ijayo hazitazii 3500km zikiwamo hizo 2000km under construction..Sijui msemaji anajisifu nini,si ajabu miaka 5 imepita bado kanda ya magharibi inastruggle kwa kutokuwa na uhakika wa usafiri
 
kuna report wanasema kuna mvua kubwa ‘above normal rain’ itanyesha kuanzia mwezi huu mpka Sept huko Ethiopia .. hizi mvua hazitakuwepo huku bongo? zinaweza kuslow down ujenzi wa SGR phase II
 

kwan hizo 2000km under construction hela zake zipo kwa budget ya miaka ipi? si hiohio ya within his first 5yrs phase??!! mbona unatumia MATAKO kufikiria badala ya ubongo!!
 
kwan hizo 2000km under construction hela zake zipo kwa budget ya miaka ipi? si hiohio ya within his first 5yrs phase??!! mbona unatumia MATAKO kufikiria badala ya ubongo!!
Wazee wa faru john utawaona tuu sijui anafikiria kwa kutumia nn??
 
Mkuu unatakiwa uelewe mambo mengi Yanahitajika sio barabara tu, kuna viwanja vya ndege pamoja na ununuzi wa ndege, kuna maji, umeme, huduma za afya, ujenzi wa reli, meli, vivuko, elimu nk. Kujenga km 3500 kwa miaka 5 si jambo la kupuuza.
 
hii video ilivyo ndefu na nzuri pamoja na mziki mzuri (beats) unawezajikuta umesinzia na kulala kabsa [emoji23][emoji23]

Dar-Pugu na Ruvu pamoja na lile eneo lenye makokoto 150-175 km bado challenge ni kubwa
hahahah
 
Hii barabara inamaliza mzunguko wa kutokea Sumbawanga uende hadi dodoma ndio uunge kwenda mwanza...bonge la project ilo..pia itafupisha sana wanaotoka Tabora kwenda kigoma au kwenda Sumbawanga
Hiyo bado ni mzunguko mrefu sana kutokea Sumbawanga na Mpanda kufika Tabora na kuendelea
Barabara fupi kufikia Tabora kutoka mpanda ni kupitia ugala hadi Kaliua,na kutokea Sumbawanga ni kupitia majimoto na bonde la ziwa Rukwa,hizi ndio tunataka zijengwe but kwa kuanzia sio mbaya
 
Unapajuahadi majimoto [emoji4] [emoji4]
 
Hahahahahah umekasirika tayar, kwn nyie mna mjua Mungu nyie? Si mlikuwa mnatucheka wakati ule wa covid-19 tulipoanza kumtanguliza Mungu mbele mkawa mnatukashifu au co nyie? Leo mnajifanya mnamjua Mungu kuliko sisi tunaomwamini [emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…