tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Mwaka huu treni ya kutumia umeme itakapoanza kazi najua majirani watabadili taarifa na kusema ipo Kenya. ..tumeshawachapa kwenye Kwenye BRT, ELECTRIFIED SGR, More of BRT phases coming up,tumewabonda kwenye JNIA T3,tumewasugua vizur kwenye Ukuaji wa abiria katika ABEID KARUME INTER AIRPORT ,TOURISM RECEIPTS last yr $2.6B