dah hawa jamaa sijui wanagundu gansikusema lamu port ni white elephant watajua hawajui
View attachment 1475425
View attachment 1475424
yaani hilo jengo la mzizima linanipa sana hasira......slow sana

Hivi hizi ndege tatu ni miongoni mwa zile Air bus zinazokuja mwakani..au ni hizi za sasa dream liners mbili na Cargo flight?
Naona makutano ya barabara ya Chang'ombe, Kawawa na Nyerere maarufu kama mataa ya Chang'ombe au Veta kuna harakati zinaanza kwa kuzungusha mabati halaf naona gari zinapita kati. Je inawezekana ikawa ndo ujenzi wa flyover katika ile phase II ya BRT itakayokua na flyovers mbili pale na Uhasibu...??
Eng.Simon tupe data, au mzee ichoboy na NDINDA pitieni pale tule maphoto
Ujenzi ulisimama .Lingekua limeisha maana yalianza sawa na PPF hqyaani hilo jengo la mzizima linanipa sana hasira......slow sana![]()
sio gundu wanapupa kushindana na tanzania 😂😂😂😂dah hawa jamaa sijui wanagundu gan
Ili dude ni hatari. The blue giant
Ujenzi ulisimama .Lingekua limeisha maana yalianza sawa na PPF hq
sio gundu wanapupa kushindana na tanzania![]()
sisi hatuna pupa kukimbilia miradi mikubwa isiokua na future 😂😂 mchina anamtia mkenge kila mradikwa Tz sijawai kuona white elephant hata moja naona zawadi kutoka kwa Mungu ya kutuweka eneo la kimkakati linatubeba saana
izi picha za siku 29 zilizopita inaonekana kuna ujenzi unaendelea si unaona io rift inapanda na kushuka..Je ujenzi unaendelea??
Why do you always feel the need to make everything about competing?? When you posted your photos, did I quote you?? I’m having a relaxed Sunday and I would hate it if some goon from Shittyland ruined it so, go to hell.Anything else?..,
factPesa TZ ipo ya kutosha, hivyo ni vitu vya kawaida kijana, hata wengine hapa JF tunamiliki hizo unazoona ni dream cars kwako... 🙂
hilo lilijipambanua wazi JIWE alivyotupilia mbali bandari ya bagamoyo na Gesi ya mtwarasisi hatuna pupa kukimbilia miradi mikubwa isiokua na futuremchina anamtia mkenge kila mradi
sio gundu wanapupa kushindana na tanzania![]()