Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hebu ondoa uchafu wako hapa.
You don't have exposure.
C50FB114-55B9-44A1-AA11-69F3FA99BED7.jpeg
 
Naona makutano ya barabara ya Chang'ombe, Kawawa na Nyerere maarufu kama mataa ya Chang'ombe au Veta kuna harakati zinaanza kwa kuzungusha mabati halaf naona gari zinapita kati. Je inawezekana ikawa ndo ujenzi wa flyover katika ile phase II ya BRT itakayokua na flyovers mbili pale na Uhasibu...??

Eng.Simon tupe data, au mzee ichoboy na NDINDA pitieni pale tule maphoto
 
Habari njema hz mkuu
 
Back
Top Bottom