The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
[emoji3][emoji3][emoji3]mtu unaendesha guta, utajuaje mambo ya magari [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3]mtu unaendesha guta, utajuaje mambo ya magari [emoji23]
It’s better than tz in every sector of the economy,be real about it and stop acting smart!Your economy is as big as your mouth.keep pushing the lie,DRC is catching up soon.Ghana Is doing better than you...angalia per capital yao vs yenu ,funga domo lako
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Ushatii [emoji3][emoji3]Rent hyo gari katika organisation yyte uingize hela ya maana..
Yani unakaa na pesa na unaziangalia
Wakenya bado hawaamini kama Tz hakuna covid-19, wanataka kushindana na blessed country [emoji3][emoji3][emoji3]R.I.P Corona.
Bongo watu wanakula bata
Mbn unajistukia km mwanamke anaetaka kuzaa? Haya waambie Wakenya wenzako vp kuna slums?Dar ni pa kijinga tu. Mji zaidi ya 70% haujapangwa uko kama shamba. Ukienda huko Buza, chanika, gongo la mboto, kigamboni mji haujapimwa Wala kupangwa.
Msije kusema Mimi n mkenya Mimi n mtanzania ila dar ya hovyo tu ni maeneo machache ya Mabeberu ndio yako vizuri.
Anaitwa VENUS STAR,mshikaji wako!huyo dada ana sura ngumu balaa,so huko kunyaland huyo ndio mrembo wa nguvu sio?
Mnyama legacy labda akua na twin turbo huyo 😀,ila hiyo crown itabidi tuyajenge kaka 😉hehehe ww unajua cc ya crown engine au unazungumza tu😂😂😂 subaru legacy iliketi chini kwa pulling
Ndo ana sura ngumu namna hiyo!Anaitwa VENUS STAR,mshikaji wako!
enhh bro legacy alikaa chini kwenye pulling mbele ya crown ile gari achana nayo bro cc2500 alaf v6 hehehe😂😂😂😂Mnyama legacy labda akua na twin turbo huyo 😀,ila hiyo crown itabidi tuyajenge kaka 😉
yani engine cc ya crown hata ingeekewa 260 speed ingekanyaga kisawasawa ww utakua hii sector bado kidogo haupo vzr😂😂Crown haijawai niangusha..
Na hakuna mahali nimetaja cc au legacy hapo, so usinipindishie mambo..
Lkn miziki ya over 200 achana nayo(speed meter) nadhani utakua umenielewa
hio gari inakazi yake budaRent hyo gari katika organisation yyte uingize hela ya maana..
Yani unakaa na pesa na unaziangalia
Nazijua crown balaa lake bro 😀enhh bro legacy alikaa chini kwenye pulling mbele ya crown ile gari achana nayo bro cc2500 alaf v6 hehehe😂😂😂😂
anh usiskie bro 😂😂😂Nazijua crown balaa lake bro 😀
thanks for render👏👏👏👏Not really
Not really,coming up as we speak.View attachment 1477998View attachment 1477999View attachment 1478000View attachment 1478001View attachment 1478002View attachment 1478003View attachment 1478004
Hiyo Ghana na Angola zinapigiwa chapuo sana lakini sioni kama zitaendelea kutamalaki huko juu maana tofauti na oil sijui kuna nini kingine,population ni ndogo sana na resources zingine sio nyingi labda kwa Angola..Nchi kama Sudan unaiachaje?Few days ago I received an email from a friend about Standard Chartered Bank forecasts on the African Economies. The Bank listed 10 largest economies in Africa and did a simulation for 2030 using current growth rates. I immediately glanced into the report to find out how big Tanzanian economy would be in 2030 against its neighbours in the region and especially Kenya. Since I’ve recovered from my illness, thoughts about Tanzanian economy and how to address the poverty challenge has been lingering in my mind, so report came at a right time.
The report says Tanzanian economy is 7th in Africa at 64bn USD (PPP GDP) after South Africa (555), Nigeria (415), Angola (116), Ethiopia(95), Ghana (75) and Kenya (72) at top six and before Cameroon (47), Uganda (46) and Ivory Coast (36) making the rest in the top 10.
In their forecast Tanzania will be 6th largest economy by 2030 with a GDP of 230bn USD overtaking Kenya which will have a GDP of 217bn USD. At the top will be Nigeria (1640), South Africa (974), Ethiopia (375), Ghana (323) and Angola (293). This forecast assumes the current rate of growth of 7%.
Tukisema hapa Dar iko mbele ya Nairobi mnabisha, umeletewa picha ya Dar ww Unaleta render, yn vitu ambavyo nyie mna dream kuwa navyo tayari Dar iko navyo, ila hakuna kitu nyie mnacho Dar haina [emoji3][emoji3]Not really
Not really,coming up as we speak.View attachment 1477998View attachment 1477999View attachment 1478000View attachment 1478001View attachment 1478002View attachment 1478003View attachment 1478004
ichoboy01 njoo uone mtu anaota huku, kuja umuwahi kabla hajajinyea [emoji3][emoji3]Not really
Not really,coming up as we speak.View attachment 1477998View attachment 1477999View attachment 1478000View attachment 1478001View attachment 1478002View attachment 1478003View attachment 1478004
No longer a render,project has already taken off, your ignorance won’t let you accept the obvious facts about this project!thanks for render👏👏👏👏