Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

soma hii ni budget ya 2020 [emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
debt to gdp ratio is 28% while in kenya is now heading to 70%[emoji116][emoji116][emoji116]

Hata urule vipi bado haibadilishi km mabeberu wanawadai hela nyingi sana katika deni lenu
 
Naona makutano ya barabara ya Chang'ombe, Kawawa na Nyerere maarufu kama mataa ya Chang'ombe au Veta kuna harakati zinaanza kwa kuzungusha mabati halaf naona gari zinapita kati. Je inawezekana ikawa ndo ujenzi wa flyover katika ile phase II ya BRT itakayokua na flyovers mbili pale na Uhasibu...??

Eng.Simon tupe data, au mzee ichoboy na NDINDA pitieni pale tule maphoto

Leo Asubuhi nimepita pale na kujionea kazi ikiendelea. Tutafuatilia zaidi.
 
Naona makutano ya barabara ya Chang'ombe, Kawawa na Nyerere maarufu kama mataa ya Chang'ombe au Veta kuna harakati zinaanza kwa kuzungusha mabati halaf naona gari zinapita kati. Je inawezekana ikawa ndo ujenzi wa flyover katika ile phase II ya BRT itakayokua na flyovers mbili pale na Uhasibu...??

Eng.Simon tupe data, au mzee ichoboy na NDINDA pitieni pale tule maphoto
Yaaani hapo ni bandika bandua.

Mwizi anafukuzwa mdogo mdogo wakati huo huo gerezani daraja linanekea hatua nzuri

Sent from my SM-A520F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kipindi Wakenya wanahofu na WaTz km hiki, hakuna kipindi Tz imekuwa roll model ya kenya km hiki na hakuna kipindi Wakenya wanaheshima kwa Tz km hiki.
Hakuna kipindi Kenya imedharau Tz kama hiki., many Kenyans didn't know shit about Tz but wameijua for far negative reasons and dumb moves, for real mumedharaulika kishenzi. At first Magufuli was the bomb, everybody here praised him, guys applauded brt n other devts, the fight against corruption etc, but sooner than later the stink from tz started to surface, naivete n backward acts, misinformed moves by Magu n his regime, etc now he is seen as a "a king walking naked and no one is daring to say to his face: "sir, uko uchi.." so tulia, fanya utafiti mwafaka, stop basing your argument on cherry picked pieces kwa mtandao. Mumedharauliwa kishenzi.
 
Ghana Is doing better than you...angalia per capital yao vs yenu ,funga domo lako

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
tuusan angalia per capita ya Ghana is not far from Kenya's as at Dec 2019, both ziko on 2000s, despite our population almost doubling theirs! So technically who is doing better? now why is your per capita small?., should we blame your big population ama uchumi mdogo? Ama mzungu kawaonea with "fake propagandist data"[emoji23][emoji23],
 
ehehhehehe 28% vs 70% haitabadilika mark my words[emoji23][emoji23]
Km ni ichoboy words mbna poa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lkn km ni hyo bado mtabaki kuwa mnadaiwa zaidi na mabeberu
FB_IMG_15918645774890954.jpg
 
Hakuna kipindi Wakenya wanahofu na WaTz km hiki, hakuna kipindi Tz imekuwa roll model ya kenya km hiki na hakuna kipindi Wakenya wanaheshima kwa Tz km hiki.
Hahaaa!!magu ataumia sana, kaona thika akaweweseka eti na yeye anajenga kibaka local..
Sai kaamu kujenga eti draja la 200m watu wazima wameamua kumjibu na kitu cha 27km ambacho kujenga labda afanye kishingo upande
 
Back
Top Bottom