Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukikubali wala hutokufa..ndio nilishngaa tangu lini athlete ikasoma "200"
na cruiser hio😂😂😂👇👇
F29BB6BF-C54B-472C-A407-3214A274752A.jpeg
70923491-A275-4583-950C-3F743E45FF80.jpeg
 
hehehe ww unajua cc ya crown engine au unazungumza tu[emoji23][emoji23][emoji23] subaru legacy iliketi chini kwa pulling
Crown haijawai niangusha..
Na hakuna mahali nimetaja cc au legacy hapo, so usinipindishie mambo..

Lkn miziki ya over 200 achana nayo(speed meter) nadhani utakua umenielewa
 
Naona makutano ya barabara ya Chang'ombe, Kawawa na Nyerere maarufu kama mataa ya Chang'ombe au Veta kuna harakati zinaanza kwa kuzungusha mabati halaf naona gari zinapita kati. Je inawezekana ikawa ndo ujenzi wa flyover katika ile phase II ya BRT itakayokua na flyovers mbili pale na Uhasibu...??

Eng.Simon tupe data, au mzee ichoboy na NDINDA pitieni pale tule maphoto

Yeah, ni zile flyovers mbili za uhasibu na Chang’ombe kwenye mradi wa BRT phase II
 
T
Naona makutano ya barabara ya Chang'ombe, Kawawa na Nyerere maarufu kama mataa ya Chang'ombe au Veta kuna harakati zinaanza kwa kuzungusha mabati halaf naona gari zinapita kati. Je inawezekana ikawa ndo ujenzi wa flyover katika ile phase II ya BRT itakayokua na flyovers mbili pale na Uhasibu...??

Eng.Simon tupe data, au mzee ichoboy na NDINDA pitieni pale tule maphoto
Leo Asubuhi nimepita pale na kujionea kazi ikiendelea. Tutafuatilia zaidi.
Wakenya mnaona wenzenu tulipofika, heheheheheeee km USA au China, yn mradi unafanyika hapa hapa nchini af cc wananchi hatujui kutokana na uwingi wa miradi [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hakuna kipindi Kenya imedharau Tz kama hiki., many Kenyans didn't know shit about Tz but wameijua for far negative reasons and dumb moves, for real mumedharaulika kishenzi. At first Magufuli was the bomb, everybody here praised him, guys applauded brt n other devts, the fight against corruption etc, but sooner than later the stink from tz started to surface, naivete n backward acts, misinformed moves by Magu n his regime, etc now he is seen as a "a king walking naked and no one is daring to say to his face: "sir, uko uchi.." so tulia, fanya utafiti mwafaka, stop basing your argument on cherry picked pieces kwa mtandao. Mumedharauliwa kishenzi.
Hahahahahah unajifariji au co, cku hz Tz ndo imegeuka case study ya Wakenya na co USA au UK[emoji3][emoji3]
 
tuusan angalia per capita ya Ghana is not far from Kenya's as at Dec 2019, both ziko on 2000s, despite our population almost doubling theirs! So technically who is doing better? now why is your per capita small?., should we blame your big population ama uchumi mdogo? Ama mzungu kawaonea with "fake propagandist data"[emoji23][emoji23],
Uchumi wa kwenye karatasi ni ushuzi kunuka tu hauna uhalisia wwte, kwa mfano wanachukua pato la Mo na Bakhressa wanaanza kuligawa kwa WaTz wote zen wanakuambia kila mTz ana pato la kiasi fulani, wakati ukweli halisi haupo hivyo, ss huo ni nn km co ufalamanga.
 
Hahaaa!!magu ataumia sana, kaona thika akaweweseka eti na yeye anajenga kibaka local..
Sai kaamu kujenga eti draja la 200m watu wazima wameamua kumjibu na kitu cha 27km ambacho kujenga labda afanye kishingo upande
Magu hajawahi fikiria kenya, the guy has his own dream to have Tz look like African Europe, kwnz km hujui Magu anaidharau sn kenya, haamini kama kenya ni nchi huru inayojitegemea.
 
tuusan angalia per capita ya Ghana is not far from Kenya's as at Dec 2019, both ziko on 2000s, despite our population almost doubling theirs! So technically who is doing better? now why is your per capita small?., should we blame your big population ama uchumi mdogo? Ama mzungu kawaonea with "fake propagandist data"[emoji23][emoji23],
We have no one to blame but ourselves

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Dar ni pa kijinga tu. Mji zaidi ya 70% haujapangwa uko kama shamba. Ukienda huko Buza, chanika, gongo la mboto, kigamboni mji haujapimwa Wala kupangwa.

Msije kusema Mimi n mkenya Mimi n mtanzania ila dar ya hovyo tu ni maeneo machache ya Mabeberu ndio yako vizuri.
 
Back
Top Bottom