Ni kweli mkuu ila hawa jamaa sijaona wakiweka nguvu kubadilisha maeneo ya uswahilini..na kuyaongezea thamani,Project kama ile ya Magomeni..zingegusa kwenye maeneo mengi kwenye miji yetu mikubwa ikiwemo Dar es Salaam especially kwenye maeneo yaliyokaribu na katikati ya mji mfano,Buguruni kwa Mnyamani,Tandale....pia kuna bodi ya mfuko wa fidia ya ardhi huu nao upewe nguvu kimkakati kwa maono ya mbele,kuibadili miji yetu na kwa matumizi bora ya ardhi.Nimewaza kwa sauti tu.settlement mbona ipo pia TBA, NHC na kampuni za maelfu binafsi au wewe upo wapi?
hii 4 lanes itaanzia wap mpka wap?
Tushamjibu kitambo sana huyo kilaza. Hapo ni Mombasa dongo kundu bypass. Meza wembe sasa ufe 😂 😂Akikujibu nitag
Nawatambua vizuri sana. Hawa wamefanya kazi hata kwetu nyumbani kuchunga ng'ombe. I know them like the palm of my hands. Kwa ushamba hawana mpinzani. They usually cross over to Kenya through Sirare border to look for odd jobsHhhhh!!km ushawahi kutana nao basi itakua unawatambua vyema..
Msukuma kw ushamba hana mpinzani bongo
Hajui foreign real Estate Investors Kwao????
1. Who own Global Trading Center ? (The tallest towers in Kenya)
2. Who Owns Sultan Palace in Mombasa?
3. Who own Great wall estates phase 1, 2
And 3
A lot of Chinese Developers are leading in your Country.
View attachment 1464177
Sultan Palace owned by Jiangsu International
View attachment 1464180
View attachment 1464181



Mbaazi ikikosa matunda husingizia jua. Hii ya investors tumezoea kuambiwa wala si jambo geni humu ndani. Jana nilikuuliza unitajie hao mainvestors ukashindwa. Truth hurts always. Siku moja hata nyinyi pia mtakuwa na hao "investors" angalau mbomoe hizo uswazi zenu muwe nazo nyumba za maana
Dar imejengwa tu pale cbd. Ukitoka hapo utakutana na zile nyumba zenu mnaenzi na kupenda (dream houses) every direction you look. Hizo macages mnatamani sana muwe nazo but unfortunately you ended up with squalors called dream houses all over the place.
Jamani wabongo punguzeni kupost picha za hako kacbd kenu Sababu kaeneo ni kadogo sana.Yani hakuna tofauti na kupost picha moja kwa mwezi na kutulia,ili uzi uachekua na page nyingi zenye picha lakini eneo ni lile lile tu....but naweza wasaidia kwa sasaView attachment 1465331




Kwani watalii wanaokuja wanaongea Kiswahili?Basi zingeliandikwa kwa kiswali
20 years ago? 😂 😂 Where is Westlands in that photo?
Yah road iko vzr, japo inakaribia hiiTushamjibu kitambo sana huyo kilaza. Hapo ni Mombasa dongo kundu bypass. Meza wembe sasa ufe![]()
![]()


These are developments targeting the wealthy and the middle class. Mention to me how many properties are owned by Edderman property (the company that developed great wall) in eastlands for instance where the majority of Nairobians live
Bwhahaaa!!wivu mbaya jamaniHajui foreign real Estate Investors Kwao????
1. Who own Global Trading Center ? (The tallest towers in Kenya)
2. Who Owns Sultan Palace in Mombasa?
3. Who own Great wall estates phase 1, 2
And 3
A lot of Chinese Developers are leading in your Country.
View attachment 1464177
Sultan Palace owned by Jiangsu International
View attachment 1464180
View attachment 1464181



Enheeee!!umekuja pazuri, wale wachina mnaowasifia hawajui kingereza mmewapangia zao za kichinaKwani watalii wanaokuja wanaongea Kiswahili?
Nakwambia huyo ywafuata upepo tu, haelewi maana ya developers..thats why wanshangaa kwann KRA inaingiza pesa nyingi kuliko traThese are developments targeting the wealthy and the middle class. Mention to me how many properties are owned by Edderman property (the company that developed great wall) in eastlands for instance where the majority of Nairobians live
si wangeirefusha ije kukutana na Ali Hassan Mwinyi pale junction ya Palm Beach?Hizi zinatokea kule kuanzia Gate la baharini la Ocean Road mkuu.
wacha wivu mshikaji! Wapi zilizoandikwa kichina Kunyaland? August unafikiri hizo ni ile mitungi yenu ya chang'aa SGR Kenya?Enheeee!!umekuja pazuri, wale wachina mnaowasifia hawajui kingereza mmewapangia zao za kichina
Nijionee kama lile ghorofa la likoni?Tembea ujionee mengi jomba
siku ukitoka hapa tag me😂😂👇👇Mombasa yenyewe hatupost lakini kuna maeneo yanazidi hako kamji kwa ukubwa na mbali sana
View attachment 1465333View attachment 1465334