Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkibinywa makender mnaanza kuitaja New york

Usisahau pia beautiful Dar es salaam ni new York ya east and central Africa
New York doesn't have dream houses scattered all over and it's a well planned city, not a glorified fishing village
 
Only that you can't prove your claims. Have a good day sir!
Popln inakuwa co kila cku inabaki palepale, Kibera ni ya watu wa maisha ya hovyo sn watu hawana hata uzazi wa mpango kule so ucshangae unapoambiwa now wapo 2.5mil
 
So you are currently located at a school??👀😂😂 Au hapo ndo unapata WiFi ya bure??
Did you want me to do this to make you happy?
Screenshot_20200531-101625.png
 
Level ya Nakuru hiyo. Your best urban area can only be compared to Nakuru, Kenya's fourth.
View attachment 1463818
kweli bana flyover za Kenya vimenyongorota ,zimepinda pinda vp hao slum injinia mbona hiyo flyover imepinda hivyo bila shaka hata ubora wake ni feki ,wakenya fuatilieni hiyo flyover kuna ufisadi Wa kutisha kujengewa huo uchafu
 
New York doesn't have dream houses scattered all over and it's a well planned city, not a glorified fishing village
Kimaendeleo Dar imeanza kukuwa juzi juzi tu hapa so tunaelekea pazuri, mwanzoni hapakuwa BRT, electric train, cable bridges wala flyovers now zpo na zinaendelea kujengwa kwa kasi, 2 or 3 yrs later hakuna mji utakaribia Dar kwa maendeleo this region.
 
Tuletee hapa local investors wanaojenga appartments kenya

Hajui foreign real Estate Investors Kwao????


1. Who own Global Trading Center ? (The tallest towers in Kenya)

2. Who Owns Sultan Palace in Mombasa?
3. Who own Great wall estates phase 1, 2
And 3
A lot of Chinese Developers are leading in your Country.

Adjustments.JPG


Sultan Palace owned by Jiangsu International

Adjustments.JPG



IMG_8440.JPG
 
Af nicxie juu ya hii nyumba yako umeweka nnView attachment 1449355
Hii yako sasa ni ujinga plus ushamba, a very lethal combination. Hivi, huna hata haya kuuliza swali Kama hii mbele ya watu? Do you know something called solar water heater?
Halafu unapigiwa makofi na vilaza wenzako for asking such a dumb question! Kuja Nairobi uzione. Ziko nyingi sana huku
 
Mbona sioni Dar is slum katika hii list?
Follow discussion kijana wa tandale. Huyo anaflaunt figures za Google. Sasa atuambie ni google gani ndio inasema ukweli kati ya hizo data mbili. I told him to use his common sense and I'll say the same to you as well
 
Hii yako sasa ni ujinga plus ushamba, a very lethal combination. Hivi, huna hata haya kuuliza swali Kama hii mbele ya watu? Do you know something called solar water heater?
Halafu unapigiwa makofi na vilaza wenzako for asking such a dumb question! Kuja Nairobi uzione. Ziko nyingi sana huku
Dah mkuu mm nimeuliza tu, mbn mkali hvyo nicxie
 
Back
Top Bottom