Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mahakama na nyumba za majaji kigoma na musoma
FB_IMG_15907331595987662.jpeg
FB_IMG_15907331207599875.jpeg
FB_IMG_15907330123389488.jpeg
FB_IMG_15907330030606418.jpeg
 
Heheheheheeee nicxie bhn, mbn ni tofauti sana, yn hii ndo density ya kulinganisha na Dar , ila muwashukuru sn foreign investors japo kuwajengea hayo ma cages hapo mjini la cvyo cjui ingekuwaje, mana me naleta density ya towers we unaleta appartments, binadamu hawajawahi kuacha vituko
Mbaazi ikikosa matunda husingizia jua. Hii ya investors tumezoea kuambiwa wala si jambo geni humu ndani. Jana nilikuuliza unitajie hao mainvestors ukashindwa. Truth hurts always. Siku moja hata nyinyi pia mtakuwa na hao "investors" angalau mbomoe hizo uswazi zenu muwe nazo nyumba za maana

Dar imejengwa tu pale cbd. Ukitoka hapo utakutana na zile nyumba zenu mnaenzi na kupenda (dream houses) every direction you look. Hizo macages mnatamani sana muwe nazo but unfortunately you ended up with squalors called dream houses all over the place.
 
Jamani wabongo punguzeni kupost picha za hako kacbd kenu Sababu kaeneo ni kadogo sana.Yani hakuna tofauti na kupost picha moja kwa mwezi na kutulia,ili uzi uachekua na page nyingi zenye picha lakini eneo ni lile lile tu....but naweza wasaidia kwa sasa
JamiiForums1652404664.jpg
 
Mombasa yenyewe hatupost lakini kuna maeneo yanazidi hako kamji kwa ukubwa na mbali sana
JamiiForums1415980849.jpg
JamiiForums1652404664.jpg
 
Back
Top Bottom