NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,744
- 49,623
Bwhahaaa!!wivu mbaya jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ujamaa umekufunga akili walai, umesahau km wakenya wanamiliki makampuni bongo
Kwa hiyo unataka kusema nini? Na hapo wivu umeapply wapi? Mwenzako kauliza wapi foreign real estate companies in Kenya. Tumemwonyesha , we unakuja umekenua hapa eti ni Wivu. Halafu unataja Akili. Kwa jinsi ukivyodandia hapo umetumia akili wapi hapo?
Halafu eti hamjui kuwa kwenu kuna big foreign real estate companies.
#AkilizaHandshake.