Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

MAJUMBA yako along barabara .. . ..... Na izi miapartment munaziita cbd munalinganisha na nairobi.....nyie washamba aki
Kwa hiyo unadhani sisi wengine huko nairobi hatujawahi kufika na hatupajui? Njoo Dar ujionee kwa macho yako siyo kwa vipicha na video clips tu .
 
Mtanzania ukitaka kujua ameshindwa siku zote, ngoja tu akianza kupost picha za kibera, hapo unajua sasa kaamua kumwaga unga na maji ili sima isipikwe, hata hizo picha za eneo kubwa ukiuliza tutakupatia tu kiazi kizidi kufura kwa koo!

View attachment 1462363


View attachment 1462367
hqdefault.jpg
AACBJYs.img
000_1JD2NX-2.jpg

header.jpg


cropped-nairobi.jpg
Co Kibera tu, slums zimetapakaa Kenya nzma, the only thing to brag about is those vi appartment uchwara ndo vitu ambavyo mkenya yyte uki battle naye lazima akimbilie hapo, but apart from that nothing new, investors wanazd kuchuma pesa nakuzirudsha kwao kupitia huo ushuzi ambao cc hatuutaki
 
Co Kibera tu, slums zimetapakaa Kenya nzma, the only thing to brag about is those vi appartment uchwara ndo vitu ambavyo mkenya yyte uki battle naye lazima akimbilie hapo, but apart from that nothing new, investors wanazd kuchuma pesa nakuzirudsha kwao kupitia huo ushuzi ambao cc hatuutaki
Kwahivyo leo ume admit bila kujua kwamba hizo apartments hua zinakuuma sana!

Hebu sasa malizia maelezo yako na picha za jiji za dar kama hivyo zilivyoleta za Nairobi... Na usionyeshe picha za huko CBD, nionyeshe wide area areal pics za residential areas za Dar, picha kama hii ambayo inaonyesha angle kubwa
5655137482_2fb5d30750_b.jpg
 
Kwahivyo leo ume admit bila kujua kwamba hizo apartments hua zinakuuma sana!

Hebu sasa malizia maelezo yako na picha za jiji za dar kama hivyo zilivyoleta za Nairobi... Na usionyeshe picha za huko CBD, nionyeshe wide area areal pics za residential areas za Dar, picha kama hii ambayo inaonyesha angle kubwa
View attachment 1462474
tapatalk_1587636342028.jpeg
tapatalk_1587227799234.jpeg
tapatalk_1587227785515.jpeg
tapatalk_1587636358769.jpeg
tapatalk_1583352010916.jpeg
 
Yah na ndicho kitu cha kupigia kelele, kwamba tusiruhusu ujengaji kiholela uendelee cz unachafua mandhari lkn pia kimazingira co sawa kabisa, ila co mtu anatoka alipo huko anakurupuka oohh kuwe na appartments nchi nzima, apo lazima tukurupuke naye.

Kabisa mzee.. Kuna umuhimu wakumantain culture zetu hata kama tutachukua ya Western kiasi
 
Mzigo wa gunia kuelekea Kenya wakaguliwa
Lori la Mizigo ya gunia la viazi kutoka Rombo kuelekea Taveta Kenya lasimamishwa, na kupimwa uzito wa kila gunia na viazi vya ziada kurudishwa kwa Mkulima muhusika. Hii ni kutokana na serikali ya JPM kuingilia kati kukomesha tabia ya kuuza magunia ya lumbesa yanayompunja mkulima!





MY TAKE
Serikali inapaswa kuzuia hawa wezi kuingia mashambani wa Wakulima ili kilimo kilete tija! Haingii akilini kipindi hiki cha njaa Kunyaland pia serikali ishindwe kuji-organize na kuwalinda Wakulima wa Kitanzania wafaidike!
 
Cku hz tunawapatia hawa wapuuzi, yn tumekuwa wajanja kuliko wao, unajua kilichokuwa kinatuponza ni ule utanzania yn mtu anatumia hash treatment cc tunatumia diplomasia hilo lilikuwa tatizo, now a days mwaga mboga namwaga ugali, wakileta hujuma kwa AT tunaleta hujuma kwa KQ
Hiyo inaitwa dawa ya moto ni moto
 
Tukimaliza hii maneno ya infrastructures tunahamia kwenye,settlements,affordable house(vertical) tutapata maeneo ya kutosha tu kwa ajili ya huduma za kijamii zikiwepo parks,shule,hospitals na n.k
settlement mbona ipo pia TBA, NHC na kampuni za maelfu binafsi au wewe upo wapi?
 
Na hii pia ilikuwa design. The bridge has to be high enough to allow sea vessels to pass through there. I wonder if a sea tunnel is viable? 🤔View attachment 1462530

Both r possible halitakuwa daraja la kwanza duniani kupitisha meli chini kule Egypt kuna madaja mengi tu juu ya Aswan channel na kunapita mameli makubwa zaidi duniani! Hata tunnel inawezekana though mpunga wake ni mrefu! Angalia gharama za 5.4 km Eurasia tunnel Istanbul ilijengwa na Yapi Merkezi ilikuwa $1.1 bln! Na haipitishi trucks!





How much is the toll from the Eurasia Tunnel?
02/11/2013 34 Istanbul, GENERAL, HEADLINE, TURKEY


The Eurasia Tunnel Project, which the Prime Minister has called Marmaray, is planned to be completed by the end of 2015. Thanks to the tunnel where only minibuses and automobiles can pass, Goztepe Kazlıçeşme will be landing in 15 minutes. Tunneling is planned to be 4 dollar + VAT.

The Eurasia Tunnel, which connects the two sides to the deepest of the 106 meters, is planned to be opened in 2015. Tünelle Kazlıçeşme-Göztepe by 15 will go down in minutes. The project will be built in 26 February 2011 and will be built between Cankurtaran and Haydarpaşa.

'100 DAKİKADAN 15 DAKİKAYA INECEK'
According to Arif Balkan from Milliyet, 'The Bosphorus Road Transit Project' will be completed until the 100 minute travel time between Kazlıçeşme and Göztepe will reach 15 minutes. Under the Bosphorus, Europe and the Asian side of the project will connect by road under the sea floor will be under the tunnel 5,4 kilometers will be. The entire route is 14,6 kilometers. In addition to the road tunnel, existing roads will be expanded. The tunnel planned in connection with the two existing bridges crossing the Bosphorus was designed so as not to be affected by adverse weather conditions.

ONLY CAR AND MINIBUSS
The project, which aims to alleviate the traffic on the Bosphorus and Fatih Sultan Mehmet bridges, will be constructed as a two-storey highway, one arrival and the other going. The tunnel will be built on the Bosphorus rock by tunneling machine. The ground is excavated with specially designed machines and the daily feed rate is 8-10 meter. The cost of the 5,4 km-long tunnel to be built beneath the sea floor is 1.1 billion dollars. Only cars and vans will be able to cross the tunnel which will be closed to two-wheeled vehicle traffic such as trucks, buses and motorcycles. Tunneling is planned to be 4 dollar + VAT.

The construction, construction and construction of the tunnel built with build-operate-transfer model and the approximate 26 annual operation, Turkish-Korean joint venture, was carried out by Eurasia Tunnel Operation Construction and Investment Corporation. to be done by.

Source : I www.ntvmsn
What will be the toll from the Eurasia Tunnel? | RayHaber | raillynews
 
Wakati nipo kijana napiga pindi la Prof moja matata wa Geography Pro John Boyer wa Virginia Tech, sikuchukulia GDP serious tena baada ya mapindi yake. ,Eye opener.
😂😂😂😂 taratibu basi ndinda
 
Back
Top Bottom