Walker255
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,884
- 12,949
Quality ya picha si nzuri. Leta yenye quality Poa
Quality ya picha si nzuri. Leta yenye quality Poa
Yani sisi tunaibeb EA yote....sasa nyie nyang'au mjue mna deal n nchi gani cyo kutuleta blablabla...




umeuaHii railway ya kutoka CBD to Morocco itakuwa extension ya SGR?
Nadhani ni commuter light train!Hii railway ya kutoka CBD to Morocco itakuwa extension ya SGR?View attachment 1462345
Wakenya ni wachache sana humu, active members hawafiki hata 20 ...... Kwahivyo hilo si jambo la kusingizia manake wakenya humu ni kidogo sana, ila watanzania wako kwa forum 'yao' kwahivyo inafaa kila mtanzania aruhusiwe kutoa opinion yake bila kuzuliwa manake ako kwake...Ww ushawahi kuona mkenya akiponda nchi yake humu? Wanafanyiwa ushenzi mara ngp na Govt yao tena wa wazi kabisa, wana maisha magumu kupita maelezo, je ushawahi kuona wanaongelea japo mara moja? Hao wakenya unao wasifia ww humu ushawahi kuona wanakubali kwamba Kibera ni uozo? Au ushawahi kuona wanapinga humu jinc wanavyofanywa national park na wazungu pale kibera? Sisi humu mara nyingi tumekuwa tunakosoa pale inapobd au tukuletee post zetu za kukosoa baadhi ya mambo ya hovyo humu nchini, usiwe mjinga jali chako hata kama ni kibaya ndiyo chako japo kukosoa pale inapobd ni muhimu, lkn usilazimishe kila kilicho kenya na huku kiwepo, tuko na different culture mzee.
ohh sisi GDP ule wimbo umeishia wap😂😂
Mikopo kwa wanafunzi wa vyuo,

Mtanzania ukitaka kujua ameshindwa siku zote, ngoja tu akianza kupost picha za kibera, hapo unajua sasa kaamua kumwaga unga na maji ili sima isipikwe, hata hizo picha za eneo kubwa ukiuliza tutakupatia tu kiazi kizidi kufura kwa koo!Ila muwe mnapiga picha ktk eneo kubwa bila kuyatenga mengineView attachment 1461674