Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nimecheka kicheko kikubwa sana😂😂👇👇
E2EBC09C-3F97-418C-A6C5-5148E3674D51.jpeg
 
Mimi huwa naona huwa haweki wazi hesabu za mali zake na biashara zake lakini uhalisia yumo.
Co Bakhressa tu, pia Oilcom, TRH, Abood, hawa unataka kuniambia hawajafika $1b? Binafsi huwa siamini, ila km data zinavyosema tuendelee kuziheshim mpk pale watakapotangazwa.
 
Back
Top Bottom