Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mombasa huwez toka kwenye hii pic๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
94D5765E-0C22-49A3-A3D2-FCCA367670A6.jpeg
 
Kuna watu karibia 250,000 washajisajilisha kuchukua nyumba, Takriban 300 kuanzia 2019 hadi sasa washaingia kwa nyumba za mfumo huu wa affordable housing !

Prime minister wa Fiji alipotembelea mradi mmoja wa Affordable housing ambao uko under construction

D7qDWwAWwAUuZtI

D7qDXgqXsAAV7kG

D7qDYfZW4AETW_2

D7qDZ33XoAEmNU5

Mbali na ule wa ngara housing project ambao nimeonyesha render pia kuna huu unaitwa Habitat Heights ambayo ni project nyengine babkubwa sana ya affordable housing - hapo kutakua na 8,888 units!!! Hii ni project ambayo inajengwa na usadizi wa UN-Habitat katika mradi wa kuondoa slums nairobi.
ELHevL4XsAAkXnJ

ELHevLSW4AEHTPA

ELFnQqTXYAEtuVN

Kuna zile nyumba 228 za park road affordable housing units zilishakabidhiwa kwa serekali , hizo 228 ni kati ya nyumba1370 ambazo zitajengwa hapo park road

EOaksMGX4AEFIRp

EOaksMTWsAAbmSu

EOaksMPWAAAUvuz

EOaksMNWAAAdrMB

EGW0UkbWsAc5qD4
asante tena kwa render narudia tena ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
60%., soma hii taarifa kulingana na census ya last year umezoea kutegemea opinion pieces za google bila utafiti mwafaka

Embakasi iki upande gani wa Nairobi wewe mjuaji?
NAIROBI 2019 CENSUS.
Embakasi Sub-county recorded the highest population in Nairobi with 988,808 people.
Nairobi is the most populous county with a population of 4,397,073 people.
The capital city's population has grown 40 per cent in the last 10 years from 3,138,369 in 2009, the 2019 census data reveals.
This now means Nairobi accounts for 9.2 per cent of the countryโ€™s total population.
Kiambu is the second most populous county with 2.4 million people, Nakuru third with 2.16 million followed by Kakamega (1.87 million) and Bungoma (1.67 million).
SEE ALSO: Rongai Innovator creates an E-Voucher system to combat Covid-19
In 2009, there were 1,605,230 females in Nairobi compared to 1,533,139 males. In this yearโ€™s census, the number has risen to 2,192,452 females and 2,204,376 males.
Embakasi Sub-county recorded the highest population in Nairobi with 988,808 people. It is followed closely by Kasarani at 780,656.
Njiru is third with 626,482, Dagoretti fourth with 434,208, Westlands (308,854), Kamukunji (268,276), Starehe (210,423), Mathare (206,564), Langata (197,489), Makadara (189,536) and Kibra being last with 185,777.
The city is growing at a rate of over four per cent annually, primarily because of the high birth rate and as people migrate from rural areas in search of employment.
KNBS projects Nairobi will have a population of five million in 2025.
Nairobiโ€™s land mass is 703.9 square kilometres. This shows about 6,247 people occupy a square kilometre.
Kibra myth
There are about 1.5 million households in Nairobi, according to the 2019 census. This again shows there are 2.9 people per household.
An average household size in Kamukunji stands at 3.1, Njiru (3), Westlands (2.9), while Dagoretti, Embakasi, Kasarani and Starehe tie at 2.8.
The data has once again demystified the long held assertion that Kibra slum is one of the largest in Africa with one million inhabitants.
The slum has only 185,777 residents.
The 2009 census showed Kibra had a population of 170,070 people. This means the slum's population has gone up by 15,700 people in the last ten years.
ikiwa 60% wako kibera how about other slums ???? hahaha huku kununu ardhi ni kama kumkojolea mlevi na kujenga nyumba ni rahisi thats y majority own land and houses vipi kwenu ardhi imeshikwa na investors + politicians kwisha
 
Over 70% of that populace makao ni vitongoji duni ya pale 1600km sq., ama ni ardhi tupu?.,
Nairobi broke its borders long ago., ndio maana ni vigumu kutofautisha sehemu nyingi za Nairobi na Kiambu county, Machakos na Kajiado., yaani inaitwa Nairobi metropolitan
hesabu ni hvi dar city is 1600km sq and nairobi city is 696km sq

dar population is about 6m
nai populatiin is about 5.5m

do simple math sio lazma uende upate PHD
 
Nakubali lakini hiyo mindset ndo chanzo cha kuwa na uswazi kama hizi za Tandale, Manzese na Kigogo n.k..

Kuna mahala tunakosea katika hizo dream houses tunazozitaka hebu leo angalia sehem zile ambazo miaka 15 nyuma zilikua vip na kama tungekua na mipango madhubuti kungekuwaje currently look at Goba, Mbezi ya Kimara, Kinyerezi, Chanika, Chamazi, Kigamboni n.k bado watu wanajenga kufurahisha nafsi zao ila sio kimipango miji zaidi yaan tunafeli hapo tuu

Uhuru wa kumiliki ardhi na uhuru wa kujenga nyumba tutakazo ndio uliosababisha kuwepo kwa sehem kama hizi za uswahilini akina Keko, Tandika, Vingunguti, Yombo n.k
Investors wanahitajika kusimamisha gated communities za kutosha ni heri tuwe na gated community ya bed sitter kuliko individual houses zisizo na mpangilio...
mindset gani uswazi zipo mixed house kuna nyumba za kila aina ww unaeza fababisha maisha ya kibera na vingubguti???๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

ww unaeza kunionesha ni maeneo gan dar kuna utumbo huu๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
6B26BAB1-5C48-410F-9E9B-8C76CE7A5442.jpeg

unapozungumzia goba mbezi huko ni nje ya mji watu wanaenda kununua ardhi kubwa wanajenga majumba yenye nafasi kubwa na watu wengi hupendelea nje ya mji kwasababu ya mikusanyiko ni midogo
 
60%., soma hii taarifa kulingana na census ya last year umezoea kutegemea opinion pieces za google bila utafiti mwafaka

Embakasi iki upande gani wa Nairobi wewe mjuaji?
NAIROBI 2019 CENSUS.
Embakasi Sub-county recorded the highest population in Nairobi with 988,808 people.
Nairobi is the most populous county with a population of 4,397,073 people.
The capital city's population has grown 40 per cent in the last 10 years from 3,138,369 in 2009, the 2019 census data reveals.
This now means Nairobi accounts for 9.2 per cent of the countryโ€™s total population.
Kiambu is the second most populous county with 2.4 million people, Nakuru third with 2.16 million followed by Kakamega (1.87 million) and Bungoma (1.67 million).
SEE ALSO: Rongai Innovator creates an E-Voucher system to combat Covid-19
In 2009, there were 1,605,230 females in Nairobi compared to 1,533,139 males. In this yearโ€™s census, the number has risen to 2,192,452 females and 2,204,376 males.
Embakasi Sub-county recorded the highest population in Nairobi with 988,808 people. It is followed closely by Kasarani at 780,656.
Njiru is third with 626,482, Dagoretti fourth with 434,208, Westlands (308,854), Kamukunji (268,276), Starehe (210,423), Mathare (206,564), Langata (197,489), Makadara (189,536) and Kibra being last with 185,777.
The city is growing at a rate of over four per cent annually, primarily because of the high birth rate and as people migrate from rural areas in search of employment.
KNBS projects Nairobi will have a population of five million in 2025.
Nairobiโ€™s land mass is 703.9 square kilometres. This shows about 6,247 people occupy a square kilometre.
Kibra myth
There are about 1.5 million households in Nairobi, according to the 2019 census. This again shows there are 2.9 people per household.
An average household size in Kamukunji stands at 3.1, Njiru (3), Westlands (2.9), while Dagoretti, Embakasi, Kasarani and Starehe tie at 2.8.
The data has once again demystified the long held assertion that Kibra slum is one of the largest in Africa with one million inhabitants.
The slum has only 185,777 residents.
The 2009 census showed Kibra had a population of 170,070 people. This means the slum's population has gone up by 15,700 people in the last ten years.
 
takwimu zinakwenda na ukubwa wa eneo hio ndio takwimu huchukuliwa ndio maana huku mtu mmoja anaeza miliki hata ardhi 10 kwa mpigo sio ajabu
Anakodisha kwa serikali, sio kumiliki, hamna huo uwezo, kisha mukikodi wengi hawana uwezo wa kujenga standard modern structures., mingi ni old fashion, pale Dar utadhani uko kule ndani mashambani.,
 
Over 70% of that populace makao ni vitongoji duni ya pale 1600km sq., ama ni ardhi tupu?.,
Nairobi broke its borders long ago., ndio maana ni vigumu kutofautisha sehemu nyingi za Nairobi na Kiambu county, Machakos na Kajiado., yaani inaitwa Nairobi metropolitan
hahahaha unayo ushahidi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Anakodisha kwa serikali, sio kumiliki, hamna huo uwezo, kisha mukikodi wengi hawana uwezo wa kujenga standard modern structures., mingi ni old fashion, pale Dar utadhani uko kule ndani mashambani.,
uhehehe umekasirika tayar ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
A pedestrian reasoning, eti "...Dar ni kubwa kwa sababu watu wana uwezo wa kumiliki ardhi.." seriously hiyo ndio reason?., na over 70% walala hoi ndani ya hiyo ardhi, ardhi ni ya serikali Tz, muombe sana mtu mmbaya asije tawala Tz na hizo sheria, hapo ndio mtajua hamjui
Hata kwa akili ya mtoto wa kindergarten tu unashindwa kureason kwa nini dar ni kubwa mara tatu ya Nairobi! Dar ni kubwa kwa sababu watu wana uwezo wa kununua ardhi na kujenga nyumba tofauti na Nairobi ambapo ardhi kubwa imeshikiliwa na watu wachache na hivyo mtu wa hali ya chini ni ngumu kununua ardhi na kujenga ndio maana wengi wanaishia kwenye slums siyo kwamba hao watu wanapenda kuishi kwenye mazingira hayo. Dar hata mtu wa kipato cha kawaida anaweza kudunduliza fedha na akanununua ardhi kwa sababu fursa na haki ya kununua kila mtu anayo coz ardhi ni mali ya serikali/nchi.

Sera na sheria za umilki wa ardhi katika nchi yenu ni mbaya sana na za kibepari kupita kiasi hilo lazima ukubali.
 
Anakodisha kwa serikali, sio kumiliki, hamna huo uwezo, kisha mukikodi wengi hawana uwezo wa kujenga standard modern structures., mingi ni old fashion, pale Dar utadhani uko kule ndani mashambani.,
viwanja huku bro ni sawa na bure trust me ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ yani hakuna kitu rahisi tanzania kama kununua ardhi yani gari ni ghali sana kuliko ardhi
 
Ukweli kabisa, rudia tena kaka
Hivi ndo vitu tunakosa Dar...
projects kama hizi ndo zinabidi zizagae Dar yote yaan pembezoni sio kukimbilia individual houses of which bado hazileti taswira nzuri zikiwa pamoja
 
hahaha ww unavichekesho sana wanakimbia reality wenzako washaona mbele kuna nn
Kuna uzi humu aliuanzisha joto la jiwe, unahusu Tz kuwa mfano wa kuigwa, mwanzoni Wakenya hawakuwa wanachangia kwa wingi baada ya maambukizi kuanza kushamiri Tz walifumuka wakenya km wote, waliuandama ule uzi mpk kuna kipindi tuliona wanaenda kushinda ile thread, baada ya Tz kuonesha inaanza kushinda pamoja na zile habari za nchi kadhaa duniani kufata kile Tz ilikuwa ikifanya wakaanza kupungua na baada ya serikali yao kuanza kufata kile tulichofanya wakakimbia kabisa, so Wakenya ndivyo walivyo ukiwabananisha huwa wanakimbia, lkn anakuja mTz cjui km ni mTz kweli anasema Wakenya wanafukuzwa na MATAGA anajifanya blind eti haoni Wakenya wanakimbia nn humu
 
Back
Top Bottom