Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Somewhere in kenya
all in all u will end up here😂😂👇👇
99F4705F-B374-4392-B39B-61EEF23BED56.jpeg
 
Hatuwezi kuwa level moja na nchi inayonuka madeni,

Hatuwezi kuwa level moja na nchi inayokumbwa na kipindupindu mara kwa mara,

Hatuwezi kuwa level moja na nchi ambayo wananchi wake wanapika mawe kutokana na kukosa chakula,

Hatuwezi kuwa level moja na nchi inayopewa misaada ya chakula karne hii,

Hatuwezi kuwa level moja na nchi yenye ukabila,

Hatuwezi kuwa level moja na nchi iliyojaa ufisadi na rushwa,

Hatuwezi kuwa level moja na nchi yenye slums kila kona hadi karibu na ikulu,

Hatuwezi kuwa level moja na nchi ambayo tatizo la maji limekuwa sugu kwenye mji wake mkuu,

Level yenu ni failed state huko.
Yaani tafuteni level yenu maake chakula hawana wanatemea misaada ya nje sasa uchumi wa kati uko wapi bila chochote tumboni huwezi fanya chochote ukishiba hata mtaroni utalala
 
Back
Top Bottom