Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

PSPF Mzizima Tower
img_20200521_160102_8-jpg.147060

img_20200521_160040_1-jpg.147059

img_20200521_160102_8-jpg.147060

img_20200521_160048_7-jpg.147061

Source: @mat23
NSSF,
Hili jengo linachukua Muda sana, what is happening, kuna ule mradi wa Kigamboni wa Nyumba 7000 umesimama miaka mitano sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
magu kasuspend hela kuwekezwa kweny hayo majengo, laiti angesema wamalize majengo yaliyoanzwa kujengwa ila wasijenge majengo mapya
Magu ana akili sana, kaona ROI kwenye majengo ni polepole sana kuliko investment km masoko, barabara, reli na kadhalika, inshort majengo yanategemea sana development kwny sekta km hzo za barabara, umeme, masoko n.k, tukishaweka sawa huku ndo yafate majengo mbn safi tu.
 
Nashaghaaa mnajifanya mku level moja na kenya
Hatuwezi kuwa level moja na nchi inayonuka madeni,

Hatuwezi kuwa level moja na nchi inayokumbwa na kipindupindu mara kwa mara,

Hatuwezi kuwa level moja na nchi ambayo wananchi wake wanapika mawe kutokana na kukosa chakula,

Hatuwezi kuwa level moja na nchi inayopewa misaada ya chakula karne hii,

Hatuwezi kuwa level moja na nchi yenye ukabila,

Hatuwezi kuwa level moja na nchi iliyojaa ufisadi na rushwa,

Hatuwezi kuwa level moja na nchi yenye slums kila kona hadi karibu na ikulu,

Hatuwezi kuwa level moja na nchi ambayo tatizo la maji limekuwa sugu kwenye mji wake mkuu,

Level yenu ni failed state huko.
 
Akili yako ime fika hapo......wakati all news mnapata kutoka kenya media. we jua ivi kwa maendeleo . Mtasubiri sana
Kweli Tz baba lao, yn kenya mmepambana miaka zaidi ya 50, mmechukua mali za Tz na kufanya ni zenu mkauza kwa jina la nchi yenu, lkn Tz alipoingia Magu miaka 4 tu tushawagaragaza kila idara
 
magu kasuspend hela kuwekezwa kweny hayo majengo, laiti angesema wamalize majengo yaliyoanzwa kujengwa ila wasijenge majengo mapya
I think watalimalizia lakin...cause hapo ..kwenye hio pic unaona elevator inapanda na kushuka...wanafanya most likely interior works sijajua litachukua muda gani... Lakini liko slow..
Walimalizie hili na ile hotel ya mwanza ya NSSF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom