na deni lake 😂😂😂 hapo ndipo watakapo cheka na mwezi
Duuu hapo hata wakimbizi Wa Burundi hawawezi ishi hapa Africa mashariki wakenya wanaongoza kwa maisha duniWacha uwongo ww, unadhani hatujui low income wanaishi wapi huko kwenu? Au unadhani hii nairaland, km pale ni low income na hapa utasemaje?View attachment 1458041View attachment 1458042View attachment 1458043
Junks zikiwa parking, hahaha! hawa manugu ya Kenya yalipigwa kweli kweli.
Ati they have genuine grievances are stigmatized! mlipokuwa mnawasumbua madereva wetu hamkujua majirani wanawaangalia?now it is your turn to feel the heat,#Manuguhayanaakili.
We unaota sasa,this is not expressway,, is an overpass from cbd to upper hill,check that video well,
![]()
MY TAKE
Kila neighbor anachukia Nyang'au! Now central corridor should up their game n step in maana huko Northern corridor kuna nyang'au kapakatwa na kuliwa kiboga huko! 😀😀😀
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala kikihboy
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
Hahah huyo dereva atakuwa alileta kimbelembele wakaamua kumuonyesha nani mwanaume itabidi akakandwe na mkewe! shenzy type WATU WAMEZIBUA MTARO.....! Hawa Wapumbavu juzi walikuwa wanachekelea Watanzania kuchapwa viboko kwao!Hiki kitu kama waganda wamefanya kweli sio kitu kizuri.
When M7 said he won't block any truck enroute to Uganda, alaf hawa manugu yakaendelea kuwazuia Waganda,nilijua hii retaliation ni lazima.Hiki kitu kama waganda wamefanya kweli sio kitu kizuri.