Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The home of billionaires and millionaires in East and Central Africa
tapatalk_1583738665896.jpeg
 
Dead state can't advise so called 'failed state'., illusionists.
Hatuwezi kuwa level moja na nchi inayonuka madeni,

Hatuwezi kuwa level moja na nchi inayokumbwa na kipindupindu mara kwa mara,

Hatuwezi kuwa level moja na nchi ambayo wananchi wake wanapika mawe kutokana na kukosa chakula,

Hatuwezi kuwa level moja na nchi inayopewa misaada ya chakula karne hii,

Hatuwezi kuwa level moja na nchi yenye ukabila,

Hatuwezi kuwa level moja na nchi iliyojaa ufisadi na rushwa,

Hatuwezi kuwa level moja na nchi yenye slums kila kona hadi karibu na ikulu,

Hatuwezi kuwa level moja na nchi ambayo tatizo la maji limekuwa sugu kwenye mji wake mkuu,

Level yenu ni failed state huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom