Kingine ni kwamba watalii wengi ni volunteers wengi wao wanajitolea kwenye hospitals, schools, churches, government institutions na private sectors as well so wanakaa kwenye hiyo mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Manyara, Singida kwa muda mrefu
Katika Ile miezi wanayokaa kule mostly on weekends huwa wanatembelea different NPs nearby so unaweza kuta weekend hii katembelea Manyara NP, next one kaenda Arusha NP, the other kaenda Zanzibar and so forth so kwa kushukia KIA tayari inawapa hii option
Na kutokana na mikoa hiyo kuwa na hii form of tourism tayari wanayo conducive environment kama airbnb hosts, rented homes and hostels tofauti na Mugumu which to me is kinda boring, Hakuna activities mtalii ataenjoy na kumvutia on the way to the destination.