Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nangoja overtaking, mumeimba sana! kutoka enzi ya mababu zenyu, baba, watoto, sasa ni nyie wajukuu na vitukuu vierehere, mumeona lami, flyovers, ka brt na vigorofa kadhaa hivi mnadhani ndio basi sasa haya subiri tuone., independent bodies work independently in Kenya, decisions ni zao without gov't interference., nyie subiri mtafika tu. nafurahi mlivyo very "informed".
Kenya inaenda kudondoka kiuchumi. Tanzania inaenda kuovertake kenya very soon, kwa mwendo huu sidhani kama Kenya itapona.

Imefika sehemu hata hela ndogo ya kitu fulani inawalazimu kukopa, hii inamaana wanachokusanya chote wanalipa madeni na nyingine inaingia mifukoni mwa watu.

Usitarajie mradi wwte mkubwa ambao utakaofanywa na Kenya kwenye kipindi hich maana hakuna mkopo watakaogewa, hii mikopo ya ajabu wanayopewa sasa ni ile ya huruma ya majanga.

China iliona hilo mapema ikabidi wajitoe kufadhili Reli yao ya kaskazini (North corridor), na kama China wamejitoa kwenye hilo basi hakuna Nchi inayoweza fadhili hyo white elephant maana TZ tu tulikosa mpaka tukaanza na pesa zetu ndo wakaja, je Kenya mnaweza anza na pesa zenu?? Ikiwa hata hela ya kupambana na locust mnakopa


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee hawa jamaa wanapoelekea hadi mishahara ya watumishi wataomba msaada au mkopo

Natamani siku ifike CRDB au Benki yyte ya kitanzania tuanze kutoa mikopo Africa, na sisi tuanze kuweka terms zetu


Sent from my iPhone using JamiiForums
First of all develop your economy iwe na uwezo ya ku finance budget 100%, with surplus. Vyanzo vya kutega uchumi havitoshi ku finance national budget, your annual revenue collection in relation to recurrent budget is meagre, reason you are LDC kaka
Endelea kuota, Lupita Nyongo alisema; "Dreams are valid"
Keep on dreaming, don't stop.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda taratibu kaka, Apo kwenu mnann chakujipiga kifua?

Sent using Jamii Forums mobile app
Failed state is above you dead state,despite our weaknesses kama corruption, ukabila, natural factors against us like drought and arid areas kibao, nyie waficha uchi hamtazaa hivi karibuni, pengine Kenya "iwabake" (by exposing your detororiated situation)., ili mpone., mnaishi kwa illusions tu ilhali vitu kwa ground ni different,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ea899197401291.5ec43604a5d59.jpg
FB_IMG_15899848006751644.jpg
FB_IMG_15902274660738396.jpg
 

waliifanyaje siri wakat hio mikopo tunaijua.. na walisain hadharan mbele ya waandishi wa habari?

hizo ni siasa takataka, itawafumbaza tu wasioelewa

kama ulikuwa hujui, WB na IMF kwamwe hawapendi nchi za africa kutekeleza miradi ya kimkakati ndo mana wanatukazia sana, wanasingizia tuna hali mbaya kiuchumi, mfano WB walikataa kutupa mkopo wa SGR, Nyerere HPP nao waliukataa.. juzijuzi tumesikia wameblock kutoa mkopo kwa mkandaras mmoja wa ujenzi wa hii plant.. bahati nzuri AfDB wapo begabega kutusaidia kujenga miradi ya kimkakati
 
Failed state is above you dead state,despite our weaknesses kama corruption, ukabila, natural factors against us like drought and arid areas kibao, nyie waficha uchi hamtazaa hivi karibuni, pengine Kenya "iwabake" (by exposing your detororiated situation)., ili mpone., mnaishi kwa illusions tu ilhali vitu kwa ground ni different,

Sent using Jamii Forums mobile app
It sound Paranoid anyway jipe moyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom