Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Angalieni hiyo ni ndege aina Gani, ndio mnapofahamu kuwa Tanzania is doing LOW DENSITY, HIGH QAULITY, HIGH PRICED TOURIST PRODUCTS.
Wanaweza kuja watalii Wanne lakini waakacha Mkwanja wa watalii (Mass Tourists) 50,000.

Sent from my iPhone using JamiiForums
That's a super rich tourist coming on board a private jet!
 
dar-es-salaam.jpg

Underwear zinawabana sasa
 
Angalieni hiyo ni ndege aina Gani, ndio mnapofahamu kuwa Tanzania is doing LOW DENSITY, HIGH QAULITY, HIGH PRICED TOURIST PRODUCTS.
Wanaweza kuja watalii Wanne lakini waakacha Mkwanja wa watalii (Mass Tourists) 50,000.

Sent from my iPhone using JamiiForums

noma ni private jet. they must be very rich people, hawajataka usumbufu wa kusafiri na ndege za abiria
IMG_1590254871.225671.jpg
IMG_1590254881.661981.jpg
IMG_1590254893.135177.jpg
 
Hizi private jets huwa nyingi sana pale KIA muda wote, most of the time utazikuta zipo 4 mpaka 6 kule ndani ya yard KIA zimepark, wakitua hapo wanakamata Cessna charter flights wanaingia mbugani
Ile plan ya airport Mugumu inabidi iangaliwe tena maana believe me kuna matajiri hawapendi purukushani za kubadili ndege KIA wanataka maximum privacy! Take example labda leo ametoka mkutano hapo Silicon valley anataka ku-refresh mind yake Serengeti na "escort" then J3 yupo kazini! Kukiwa na kiwanja cha maana at least size ya Bukoba airport tutawakamata sana wale mabilionaire yaani ni straight ndani ya Mugumu watu wa customer wanawafuata kugonga muhuri wa entry kwenye tent zao! JK was weak kukubali kuachia deal ya Tudor Jrn. kuhepa kwasababu tu ya kelele za mafalamanga wa Kikenya!
 
Hizi private jets huwa nyingi sana pale KIA muda wote, most of the time utazikuta zipo 4 mpaka 6 kule ndani ya yard KIA zimepark, wakitua hapo wanakamata Cessna charter flights wanaingia mbugani
Wakenya wakumbuke kuna maisha wakati wa COVID -19 na kuna maisha baada ya COVID -19
 
Back
Top Bottom