Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

maabara mpya👇👇👇
8DE81647-057F-41E8-8607-994F663A9D8A.jpeg
643396E5-7D49-4C2F-8179-3C54A6A8DF65.jpeg
 
Ile plan ya airport Mugumu inabidi iangaliwe tena maana believe me kuna matajiri hawapendi purukushani za kubadili ndege KIA wanataka aximum privace! Take example labda leo ametoka mkutano hapo Silicon valley anataka ku-refresh mind yake Serengeti na "escort" then J3 yupo kazini! Kukiwa na kiwanja cha maana at least size ya Bukoba airport tutawakamata sana wale mabilionaire yaani ni straight ndani ya Mugumu watu wa customer wanawafuata kugonga muhuri wa entry kwenye tent zao! JK was weak kukubali kuachia deal ya Tudor Jrn. kuhepa kwasababu tu ya kelele za mafalamanga wa Kikenya!
Definitely, waboreshe zaidi pale seronera kipande standard, halafu hawaoni utitiri wa airstrips huko mbugani ni alert calls kwamba kunahitajika uwekezaji wa airport huko huko ndani

Kuna fununu serikali ilisitisha kuhofia ujangili ndio ungeshika kasi, ila kiwanja cha Arusha kimetengewa budget kitarefushwa running way, apron na parking.
 
Hapana Mugumu ndio bomba zaidi! Kwenye ramani utakuwapo karibu na Fort Ikoma nje ya NP. Huo wa Seronera upo ndani ya Serengeti NP hauwezi kupanuliwa na sheria za mazingira haziruhusu ule runway yake kuwekwa lami!

serengeti%20map.gif

1-s2.0-S2211973617300132-gr1.jpg
 
Hapana Mugumu ndio bomba zaidi! Kwenye ramani utakuwapo karibu na Fort Ikoma nje ya NP. Huo wa Seronera upo ndani ya Serengeti NP hauwezi kupanuliwa!

serengeti%20map.gif

1-s2.0-S2211973617300132-gr1.jpg
Yeah ni viable lakini kwa mipango ya serikali si unaelewa inaenda proportionally so wataangalia na kuona Mugumu ipo Mara na tayari Mara ujenzi wa airport unaendelea pia Mugumu ipo karibu na Mwanza Airport yenye longest runway ukanda huu so automatically watakiexclude

Hilo la kujenga Airport Mugumu liliondolewa at a very elementary stage kwamba kuingilia ecosystems na usalama wa nchi na mambo ya ujangili lakini kuna hoja nyingine kwamba charter flight markets ita collapse sababu unajua namna hivi vicessna vilivyo vingi pale KIA na Arusha Airport na almost 80% vinafeed Serengeti
 
mi nilipitia impact assessment yake tatizo si kuua charter industry maana hata hapo Mugumu hizo charter flights zitatua! na watalii wengi hufanya packages within the country kwa hiyo still watabeba watalii wanashukia Mugumu kuwapeleka other spots say Zanzibar. Tatizo ni international pressure kutoka kwa wanaharakati waliosukumwa na hidden interest za Kenya (unknowingly and knowingly)! Serengeti NP ina 15,000 sq km almost the size of Rwanda na location ya Mugumu ipo juu ya Fort Ikoma ni nje ya NP kama JPM angekuwa madarakani uwanja ungejengwa maana JNHPP ipo ndani ya Selous na kawafungia vioo wana mazingira! Huu uwanja ulikuwa ujengwe nje ya NP na strategic ku-serve tourists. BTW JPM ali-promise kuujenga ila siskii chochote juu ya hili. Uwanja wa Musoma hauusiani na huu kutoka Musoma na Mugumu ni mbali pia around 120 km!
 
mi nilipitia impact assessment yake tatizo si kuua charter industry maana hata hapo Mugumu hizo charter flights zitatua! na watalii wengi hufanya packages within the country kwa hiyo still watabeba watalii wanashukia Mugumu kuwapeleka other spots say Zanzibar. Tatizo ni international pressure kutoka kwa wanaharakati waliosukumwa na hidden interest za Kenya! Serengeti NP ina 15,000 sq km almost the size of Rwanda na location ya Mugumu ipo juu ya Fort Ikoma ni nje ya NP kama JPM angekuwa madarakani uwanja ungejengwa maana JNHPP ipo ndani ya Selous na kawafungia vioo wana mazingira! Huu uwanja ulikuwa ujengwe nje ya NP na strategic ku-serve tourists. BTW JPM ali-promise kuujenga ila siskii chochote juu ya hili. Uwanja wa Musoma hauusiani na huu kutoka Musoma na Mugumu ni mbali pia around 120 km!
Lakini pia ujue watalii kushukia KIA ni kama tunaua ndege zaidi ya watano kwa jiwe 1 kutokana na mpangilio wa vivutio vyetu kutoka KIA mpaka Serengeti

Wakishuka KIA it's easy to access Kilimanjaro NP, Mkomazi NP, Arusha NP, Manyara NP, Tarangire NP, Ngorongoro CA lastly Serengeti NP and Mwanza Victoria Saa8 NP

Hiyo chain it's only possible kama watashuka KIA, hilo nalo lilizingatiwa sababu sio watalii wote wanaokuja Northern Tourism Circuit wanataka kwenda Serengeti, wengine wanakuja specifically kwa ajili ya trekking only.
 
Ukifikiria hivyo huwezi kuendelea kuna watu wanasema SGR itawaondolea biashara watu wa malori au kukataa kwa porters cable cars Mt Kilimanjaro ati kazi zitaondoka as if wapandaji wote watapanda cable cars!

Kuna wale wa sports tourism yaani trekking ns pia kuna wasiojiweza na wazee wana-dream ya sight seeing pia! Hawa jamaa wa charter airlines hawana maana kwanza ni walanguzi kupita kiasi! Kutoka Dar kuenda Bukoba ilikuwa $400 na kwenda juu pia kutoka Dar kwenda Dodoma ilikuwa si chini ya $300!

Acha kuwashabikia hawa jamaa wa vitu vya ajabuajabu kukiwa na uwanja Mugumu ni mapato zaidi yanayotozwa kodi. Kitu kitakachowa-fix wenye biashara ya charter flights kwavile ni opportunist na wanajua hamna miundombinu.

Huwezi kuacha hivyo ili kuendelea kwa unyonyaji huu! Mugumu airport ikiwa pale ita-offer alternative afterall serikali itaendelea kukusanya kodi na charter airlines are damn expensive! Open up ur mind usiwe mtu wa kutetea carteling, Tanzania is too big for everyone to have a piece of pie!
 
Back
Top Bottom