Heheheheheeee ni matumaini yangu kuwa hii itatumika kama reference kwny books za vijana wetu huko mashuleni, icwe tu hollandAisee, kizazi cha sasa kitafaidi kuona kwa macho land reclamation ikoje (bandari na daraja), sisi tulikuwa tanasimuliwa tuu na waalimu wetu ambao hata wao walikuwa hawajawahi kuona.
Yaani tukishanunua ndege yetu ya mizigo, ndiyo tutaona kuwa uchumi wa Kenya ni chui wa karatasi.
Hamia kabisa unasubiri nn.Hizi mambo ziki matirialize Nairobi mtatisha sana
Nchi hii kwenye sekta ya Honeypot imeshindikana mzee, huku kuna mpk simba weupe na tembo wakimbizi [emoji3][emoji3][emoji3]
Sisi hatukupimi, tunakukataza kabisa [emoji3][emoji3]joto limeanza sasa[emoji122][emoji122][emoji122][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Wametishia shuzi kumbe wanaharisha [emoji3][emoji3]watalia hawa yani wamechezea sharubu za simba[emoji122][emoji122][emoji122]
Uwiiiiiiiiiiiiii sijawahi kucheka hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
EEti tutawaweka quarantine siku 14 wao na ndege yao
Walidhani ni Tz ya 90's ya ujamaa na kujitegemea, kumbe ni mabepari pure [emoji3][emoji3]ukitubeep sie tunakupigia
Ww unaeelewa imekusaidia nn mpk ss
uhehehehe hebu nioneshe just one modern bus stage in kenya niamini maneno yako 😂😂😂😂😂 ushuzi wa mendeAs it is universally known, Tanzania is where Kenya was in 1980.
Kwa hivyo nakuelewa ukisema design za 80s ni 'modern'.
💉💉💉💉👏👏👏 asante zimefika vyemaI'm sorry for my earlier statement.
Why are you building buildings straight from the 50s and 60s?
Heheheheheeee ukitaka kukorofishana na Magu we gusa madini yn apo anaweza kukutia hata risasi, ana kamera zake pale white house kila saa anaangalia kuta zake alizozijenga kule migodini, kila saa anaangalia akimaliza anaangalia airport, baada ya hapo anaanza kuchungulia mpakani zen ndo analala, akistuka mda wwte anacheki kamera zake tu, utamuibiaje mtu huyo[emoji3][emoji3][emoji3].tanzanite imedhibitiwa bro nina jamaa yangu kule anakwambia tanzanite haitoki hata ukucha [emoji23][emoji23] ndio maana unaona hata kwenye uuzaji wa tanzanite kenya umeshuka vibaya sana hawana hamu na magufuli
Hyo avatar vepeee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ldc na Ldc kweli ni strategic partner
Wazi wazi bila kificho, raha saanaaa, af dizain km hawa viongozi tupo nao humu kwenye huu uzi [emoji3][emoji3][emoji3]
uhehehehe hebu nioneshe just one modern bus stage in kenya niamini maneno yako 😂😂😂😂😂 ushuzi wa mende
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hii serikali hii inanifurahisha sntunakaba kila kona
Unamkorofisha Magu unategemea nini, hatua km hz nadhani alitaka kuzichukua mda mrefu sema alikuwa anawalinda tu, ss wamemchokonoa ngj wauone upande wake wa pili wa shilingi [emoji3][emoji3]tunakaba kila kona
Ukiiangalia kwa nje unaweza ukaichukulia poa, ingia ndani ss[emoji122][emoji122]Dodoma Bus stand
Hatua za mwisho mwishoView attachment 1454883View attachment 1454884View attachment 1454885
Sent using Jamii Forums mobile app
Vitu vya Tz achana navyo, tumeamua kuwa unique kwa kujenga design za 70s and 80s ww pambana na vya kwenu[emoji3][emoji3]Why are you building new buildings like they are straight from the 70s and 80s?