Bus stage ni relics of the past. Hatuzihitaji.
zero brain! kituo chochote kuna soko, bodaboda, bajaj, taxi.. hivyo unakuza uchumi na kuhimiza mzunguko wa hela (watu kujipatia kipato sehem sahihi na kwa shughuli sahihi)
Bus stage ni relics of the past. Hatuzihitaji.
Magu Tano tena 😁Hyo avatar vepeee![]()
Kweli nimiamini hamzihitaji maana mmeshazoea hadi slum za bus stages.Bus stage ni relics of the past. Hatuzihitaji.
Leo nmeiona Emirates mwenye info wakuu
hahahaha basi muko nyuma miaka 100 ndio maana hata mchina kawajengea reli ya miaka 100 iliopita kwa ghrama ile ile ua kujenga reli na treni za 2020😂😂😂😂 unajua kwann kafanya hvo kwasababu muko nyuma miaka 100 badoBus stage ni relics of the past. Hatuzihitaji.
wabambane vp wakat hawana kabisa😂😂Vitu vya Tz achana navyo, tumeamua kuwa unique kwa kujenga design za 70s and 80s ww pambana na vya kwenu![]()
Wakati Tanzania ikioongoza Africa kwa kufanikiwa kupambana na kutokomeza umasikini kwa asilimia kubwa...kule Kunyaland mambo yako hivi.
Because Kenya has modern infrastructures since 80s like electric sgr, cable bridges, beautiful and modern interchanges like three level interchanges, modern public transport like BRT, modern shipsAs it is universally known, Tanzania is where Kenya was in 1980.
Kwa hivyo nakuelewa ukisema design za 80s ni 'modern'.


but km huna hvyo vitu mpk leo bac ujue ww ni ldc typically, and take it, there's land reclamation in Tz 



.It's none of our business, kwn floods imetokea kenya tu.Floods bring with them soil and silt and other dirt that blocks pipes.
Ama unataka tukachote maji taka na bakuli kama watanzania?
Thnx 4 renderTwo rivers apartments progressing well,it will be like a small modern city when all the projects get complicated.
Cascadia apartment
View attachment 1455038View attachment 1455040View attachment 1455041
Riverbank apartment
View attachment 1455042View attachment 1455043View attachment 1455044


😂😂😂😂 hua anaona humu watu wapuuzi sanaThnx 4 render![]()
Nmeona pia..i think ni CargoLeo nmeiona Emirates mwenye info wakuu
Ni passenger ile mzee, labda wafanye km ET na Rwandair
Yeah ndo walichofanya..i think..cause passenger flight hazijaresume kwa africa badoNi passenger ile mzee, labda wafanye km ET na Rwandair
Kuna zile statistics huwa wanazipika wenyewe kuhusu poverty in kenyahata hio mwaka 2023 wamesema tu i think ni mpaka 2050![]()
