babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,904
- 34,903
I lol Nigeria took 3.4 billion dollars, that's lots of moneyhizi ni nchi ambazo zimepata mkopo kutoka IMF, nisaidien kujua ni nchi mpka mda huu kweny hii list haipo in curfews/lockdown (any kind of lockdown)
View attachment 1453815View attachment 1453816
Kawaida ukinyimwa pesa unaanzaga kutafta tuvisababu....mwaga povu kabisa uwanja ni wakowanasema moja ya masharti ya IMF kutoa mkopo wa corona ni nchi kuwa in lockdown au curfews.. i’m trying to know the truth of this. naangalia nchi zilizopata mkopo kama either wanajifungia (lockdown /curfew) au wako huru
where is 8 lanes there 😂😂😂😂 munakazi ndefu sana mwaka huuWestern bypass still taking shape,8 lanes 😍
View attachment 1453831
jibu swali aliloouliza mikopo kwenu ni sehemu ya maisha yenu wala hatushangai😂😂Kawaida ukinyimwa pesa unaanzaga kutafta tuvisababu....mwaga povu kabisa uwanja ni wako
Sent using Jamii Forums mobile app
umeona 8 lanes yao😂😂😂
Haha Tanzania nzima sasa ni mihemko kwasababu uhuru kafunga mpaka....sasa ati mnadhani kenya itarudi nyuma kwa hatua tulizochukua ole wenu...watanzania ni watu wa ajabu sana, mbna somalia hawalii na tuliwafungia mpaka kama nyinyi? Mbna uganda walitufungia mpaka na hatukeshi kwenye social media tukilia? Vipi kuhusu Zambia kuwafungia mpaka? Lakini energy yote mumeangazia kenyaYaani rais wa kenya anajibiwa na wakuu wa mikoa ya tanzania!!!!!
Hii dharau sasa...yaani kenyatta level yake ni mama mghwira,mkuu wa mkoa wa kilimanjaro!!!
Hii technology ndo nmeikuta Rita tower hii
Sio mmetufungia, tumefungiana, nyie mna serikali dhaifu sana, yn serikali yenu imeshindwa kujua kwamba vigezo mlivyopewa vya mkopo ni vya kishenzi, yn mchukue mkopo lkn msizalishe, eti mjifungie ndani km hao waliowapa duuhh even a std seven dropout student can't agree with, mnakubali kuchukua mkopo lkn uwasaidie kwa chakula na co kuzalisha daaahhh mcje tena kuchagua wahuni waongoze nchi, ubongo wao umejaa mavi kichwani....smhHaha Tanzania nzima sasa ni mihemko kwasababu uhuru kafunga mpaka....sasa ati mnadhani kenya itarudi nyuma kwa hatua tulizochukua ole wenu...watanzania ni watu wa ajabu sana, mbna somalia hawalii na tuliwafungia mpaka kama nyinyi? Mbna uganda walitufungia mpaka na hatukeshi kwenye social media tukilia? Vipi kuhusu Zambia kuwafungia mpaka? Lakini energy yote mumeangazia kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
sio uhuru masharti yamikopo yamewafika makalioni hamuwezi kutunisha misuli dhidi ya tanzania kwenye mipaka nyinyi sisi tumezungukwa na nchi 7 mpaka 8,Haha Tanzania nzima sasa ni mihemko kwasababu uhuru kafunga mpaka....sasa ati mnadhani kenya itarudi nyuma kwa hatua tulizochukua ole wenu...watanzania ni watu wa ajabu sana, mbna somalia hawalii na tuliwafungia mpaka kama nyinyi? Mbna uganda walitufungia mpaka na hatukeshi kwenye social media tukilia? Vipi kuhusu Zambia kuwafungia mpaka? Lakini energy yote mumeangazia kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Iko vizuri.Hii technology ndo nmeikuta Rita tower hii
huna habari wewe😂😂👇👇👇Haha Tanzania nzima sasa ni mihemko kwasababu uhuru kafunga mpaka....sasa ati mnadhani kenya itarudi nyuma kwa hatua tulizochukua ole wenu...watanzania ni watu wa ajabu sana, mbna somalia hawalii na tuliwafungia mpaka kama nyinyi? Mbna uganda walitufungia mpaka na hatukeshi kwenye social media tukilia? Vipi kuhusu Zambia kuwafungia mpaka? Lakini energy yote mumeangazia kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
yani tanzania iagize energy kenya 😂😂😂 unazungumzia energy gani???Haha Tanzania nzima sasa ni mihemko kwasababu uhuru kafunga mpaka....sasa ati mnadhani kenya itarudi nyuma kwa hatua tulizochukua ole wenu...watanzania ni watu wa ajabu sana, mbna somalia hawalii na tuliwafungia mpaka kama nyinyi? Mbna uganda walitufungia mpaka na hatukeshi kwenye social media tukilia? Vipi kuhusu Zambia kuwafungia mpaka? Lakini energy yote mumeangazia kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
mutajua hamujui 😂😂😂😂👇👇👇 njaa itawaua na sio coronaHaha Tanzania nzima sasa ni mihemko kwasababu uhuru kafunga mpaka....sasa ati mnadhani kenya itarudi nyuma kwa hatua tulizochukua ole wenu...watanzania ni watu wa ajabu sana, mbna somalia hawalii na tuliwafungia mpaka kama nyinyi? Mbna uganda walitufungia mpaka na hatukeshi kwenye social media tukilia? Vipi kuhusu Zambia kuwafungia mpaka? Lakini energy yote mumeangazia kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mmetufungia, tumefungiana, nyie mna serikali dhaifu sana, yn serikali yenu imeshindwa kujua kwamba vigezo mlivyopewa vya mkopo ni vya kishenzi, yn mchukue mkopo lkn msizalishe, eti mjifungie ndani km hao waliowapa duuhh even a std seven dropout student can't agree with, mnakubali kuchukua mkopo lkn uwasaidie kwa chakula na co kuzalisha daaahhh mcje tena kuchagua wahuni waongoze nchi, ubongo wao umejaa mavi kichwani....smh