Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimekuwa nikifatilia huu mjadala for a quate long time now(since 2017) but nadhani hautatusaidia we are both no where near to where we want to be. Ingawa kuna machache ya kujivunia kote(in kenya & tz),nadhani bado tuna changamoto nyingi tunazotakiwa tuzikabili collectively as neighbours and individually as nations. most of our people live in poverty hamna haja ya kutukanana na kukashifiana tungeelekeza juhudi zetu kusaidiana kuondoa umaskini kwa watu wetu ingekuwa bora sana. Huwa nasikitika sana ninapoona watz wenzangu wanapost repeatedly picha za kibera ili hali some of us pia wanaishi in the same condition. LET US BE POSITIVE AND MOVE FOWARD #umoja ni nguvu.
Kenya hakuna slum yoyote inayo fanana na eneo lolote hapa tz hata tukikuambia tuletee picha ya makazazi duni inayo fikia slum za Kenya huwezi tuletea ndiyo maana wakenya walikuwa wakija tz tunawakalibisha majumbani kwetu ila tulikuwa tunashangaa kwanini tukienda kwao Kenya hawataki kutukaribisha makwao sembuse kukuonyesha wapi wanaishi ,hadi jf ilipo tufumbua macho kuwa jamaa wanaishi kwa slums mfano nairobi 82% ya watuwake wana ishi kwa slum

Send by APOLO 1
 
Kuna weza kusiwe na sehemu inayofanana exactly na kibera Tanzania lkn bado wengi wetu wanaishi katika mazingira hatarishi maeneo kama tandale buguruni manzese mbagala n.k na maeneo mengine ya miji yetu mikubwa hali si ya kuridhisha tuna kazi kubwa ya kufanya. Anyway we can choose to admit that they are not at a good standard for living na kuyarekebisha taratibu until everything is ok or tunaweza kuendelea kujifariji kwamba yanafaa kwa kuishi.
Wewe ujui slum za Kenya ,,,, 82% ya wakaazi Wa nai wanaishi kwa slum ,slum zenyewe ni bora hata mabanda ya nguruwe ya tz

Send by APOLO 1
 
Hawa wengine tusiwe tunawajibu mkuu, we angalia tu comment yake zen achana naye, cz naye pia ana haki ya kuchangia, cc tuendelee na yetu mkuu.
Hajui sehemu pekee hapa tz zinazo fanana na slums za Kenya ni kwenya madampo

Send by APOLO 1
 
Haiwezi wekwa Umeme ,sababu madaraja yenu yamejengwa membamba uwezi kuweka mifumo ya Umeme hadi myabomoe yote na kujenga upya yenye beam4 hivi siyo beam2 kama yalivyo yenu tena mengine mmejenga hayatumii beam ni midude kama box imeegeshwa hii ndiyo sababu serikali yenu ilikwama kuchenji gia hewani ya kuweka Umeme hilo liesijiara lenu, ni kama mlivyo bugi kwenye ujenzi Wa flyover zenu zote hamkuzingatia mifumo ya BRT wala TRAM tofauti na Tanzania flyover zetu tumezingatia mifumo ya brt

Send by APOLO 1
Compare madaraja ya Ethiopia na Kenya uone hakuna tofati,yote yamejengwa Ku support poles za umeme kwa kijisehemu nime circle,,
Ethiopia
images - 2020-05-09T230425.256~4.jpeg
images - 2020-05-09T230425.256~2.jpeg


Kenya
images - 2020-05-09T225235.922~2.jpeg

images - 2020-05-09T230149.412~2.jpeg
 
After the project plans are underway, wacha panganga
Construction news | products | companies | projects | events | machinery | equipment | services › ...
Web results
Kenya's plans to electrify US $3bn Standard Gauge Railway (SGR) begins
Sasa umeona hiyo Pesa ilivyo nyingi $3bil !? Ndiyo huamini maneno yangu kwamba itabidi mvunge kofia za nguzo za madaraja mlizo jenga mwanzo na kuweka pana kufoji eneo la kuweka Umeme na maandaki yenu inabidi mya bomoe kuyafanyia marekebisho makubwa ndiyo maana hela imekuwa $3 bil la sivyo mngetumia kama $1bil tu kuweka Umeme kama isingekuwa hayo marekebisho

Send by APOLO 1
 
Back
Top Bottom