ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
safi
ngoja waone hili game lilivo
safi
The giant city in E&CA
Heheheheheeee hatari sana aloo, km ni umaarufu wa kisiasa Magu kwa ss yupo sayari nyingine, kawazidi kwa mbali sana marais wenzake wa Afrika.Baba kasema dunia nzima inacomment
Yule mwingine alieongea nafikiri ni wakenya na watz tu ndio walijua kaongea.
View attachment 1453499
Kwani watalii ni mapoyoyo kutojua kwamba unaweza kuingia direc?BTW coronavirus inaingia over 80% of tourists were flying directly to Tanzania. Unajua kinachowauma Kunyaland ni kukurupuka kwao kwenda lockdown na kusimamisha safari za KQ. sasa walipoonaTanzania ime-react vingine kuruhusu ET (ku-operate even PAX flight) na Rwandair kuchukua cargo imewauma. In their mind we should also suffer since they suffer! KQ flies horticulture and floriculture produce to Europe but at a lower frequency now as the cargo is low!mim naona kenya wanatafuta angle/technique ya kuzuia hata magar ya Tanzania ya mizigo kupita. na mambo ya utalii
Madereva kutoka Kenya 19 Wana corona waende wakafie kwao
Serikali ya Tanzania yawazuia Wakenya na magari yao kuingia nchini sababu ya Corona – Bongo LeoView attachment 1453474
Chezo ndio limeamza. Wapumbavu
Kwani watalii ni mapoyoyo kutojua kwamba unaweza kuingia direc?BTW coronavirus inaingia over 80% of tourists were flying directly to Tanzania. Unajua kinachowauma Kunyaland ni kukurupuka kwao kwenda lockdown na kusimamisha safari za KQ. sasa walipoonaTanzania ime-react vingine kuruhusu ET (ku-operate even PAX flight) na Rwandair kuchukua cargo imewauma. In their mind we should also suffer since they suffer! KQ flies horticulture and floriculture produce to Europe but at a lower frequency now as the cargo is low!
Ndege zao zitakua aziji tu,huyu tulinaye sasa diplomasia 0,wasidhanie atafanya kama kikwete kuwapunguzia safari za kq kuingia Tanzania,magu atazifungia kabisa na simu zao atowapokeleamim naona kenya wanatafuta angle/technique ya kuzuia hata magar ya Tanzania ya mizigo kupita. na mambo ya utalii
Hawa mbwa ndivyo inavyotakiwa wafanyiweMadereva kutoka Kenya 19 Wana corona waende wakafie kwao
Serikali ya Tanzania yawazuia Wakenya na magari yao kuingia nchini sababu ya Corona – Bongo LeoView attachment 1453474
safi
safi
Nadhani ss watajua ya kwamba hii ndiyo Tz mpya, natamani itoke order ya kuwafukuza Wakenya wote warudi kwao, cc wenyewe hatutoshi humu ndani zen wanakuja kuongeza wingi tu humu, WaTz wanaweza kazi zote hatuhitaji wageni labda wawe experties ambao huku kwetu co wengi km yapi merkezi waje kufanya technology transfer zen warudi kwao ova.huu mchezo watacheka na mbingu
Ngoma isambe, ulole uleke.