ili kuenhance huduma za afya hasa kwa magonjwa ya mlipuko, napenda kuwe na hospitali za kikanda ili kukabiliana na magonjwa ya mlipuko na ziwe na vifaa/mashine vya kila aina, pia kweny hizo hospitali kuwe na vituo vya utafiti vya NIMR
1. ile ya mtwara iongezwe vitanda at least ziwe 1000 beds (currently zipo 600hiv) na kituo cha utafiti cha National Institute for Medical Research, NIMR, iwepo huko kwa ajili ya kanda ya kusini)
2. ijengwe hospital kubwa ya 1000 beds na kituo cha NIMR kwa ajili ya kanda ya nyanda za juu kusini hasa mkoan mbeya
3. kwa kanda ya kaskazin kwa mikoa ya North-East, ile hospitali ya Mara, Mwl. Nyerere Memorial hospitali iongezwe nayo vitanda mpka 1000 beds na pia kuwepo na kituo cha utafiti, NIMR.
4. kanda magharibi iwepo Kigoma au ile Bugando nadhan inatosha
5. kanda ya kati, hospitali zilizopo na zinazojengwa dodoma zinajitosheleza
hizo hospitali si kwa ajili ya magonjwa ya mlipuko ila pia kwa huduma nyingine. yan ziwe hospitali za nguvu kama za muhimbili/BWM-Dom