Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,888
- 103,753
πππππ
Aisee hizi punishments nyingine, hawachelewi kudai JPM sababu! π π π π π
πππππ
yani jamaa wanamatatizo mpaka chini ya kendeππππAisee hizi punishments nyingine, hawachelewi kudai JPM sababu! π π π π π
Wasipewe kazi yoyote, unakumbuka uwanja wa ndege wa songwe Mbeya ilipewa kampuni ya kenya, ile runway inaumuka kama waliweka hamira imebidi serikali itangaze tenda nyingine ufumuliwe upya.Nadhani ss watajua ya kwamba hii ndiyo Tz mpya, natamani itoke order ya kuwafukuza Wakenya wote warudi kwao, cc wenyewe hatutoshi humu ndani zen wanakuja kuongeza wingi tu humu, WaTz wanaweza kazi zote hatuhitaji wageni labda wawe experties ambao huku kwetu co wengi km yapi merkezi waje kufanya technology transfer zen warudi kwao ova.
Mbn nilieleza mkuu:hebu tueleze kila mtu na kitengo chake tujifahamu kabisa![]()







Mkuu tulishakoma, tangu watumie technolojia ya nuhu kwenye ule mtumbwi waliotujengea tukaachana nao kabisaWasipewe kazi yoyote, unakumbuka uwanja wa ndege wa songwe Mbeya ilipewa kampuni ya kenya, ile runway inaumuka kama waliweka hamira imebidi serikali itangaze tenda nyingine ufumuliwe upya.



Huu ndio wenyewe kabisa. Ulitumika kipindi cha NuhuMkuu tulishakoma, tangu watumie technolojia ya nuhu kwenye ule mtumbwi waliotujengea tukaachana nao kabisaView attachment 1453613
Hata jamiiforums media hujui??ππππTunashukuru kwa kuendelea kuwa part ya viewership ya citizen na ntv, huku kenya hamna anayefahamu media zenyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbn nilieleza mkuu:
Geza - kitengo cha SGR na mambo yote yanayohusu miundombinu
Joto la Jiwe - anapambana na propagandist wote wakikunya
Ichoboy - mambo yote yanayohusu CBD hapo atoki mtu
Simon - takwimu za kiserikali uchomoki hapo
Baba yao - sindano ndogo ndogo jamaa hakuachi
Lwiva - shombo zote anadili nazo yeye
Ndinda - picha zote kali za Dar anazo yeye
The best 007 - midfield kisheti a.k.a kiraka
Bantugbro - anakaba kote kote
Tuusan - diplomasia
Ngokongosha - updates
Mgagaa na upwa - wakumaliza
Walker255 - English yn wakenya wote wanaojifanya wanajua ngeli hapo wamedunda
Narton jr - slums![]()



Hawezi kurudi mwezi huu wote mana ana maumivu mara mbili kwanza boko alilotoa yeye mwenyewe af pili boko la rais wakeYule gate keeper mbona haonekani????
au alisimamishwa kazi



safi
Hapa kazi tu.
Ss atajibiwa vp na Magu wkt Magu keshamuona zero brain mlevi, na km ulifatilia ile hotuba ya Magu pale madhabahuni kuna mda km alitaka kutoa kejeli pale alipoongelea madereva akaishia kucheka tu.Yaani rais wa kenya anajibiwa na wakuu wa mikoa ya tanzania!!!!!
Hii dharau sasa...yaani kenyatta level yake ni mama mghwira,mkuu wa mkoa wa kilimanjaro!!!