The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Kupata boko km hili tubonyeze wapi 











Piga *kibera# utalipata
nicxie kweli kiboko, kwmb unamiliki mjengo ila mapumziko yako getini au coPiga *kibera# utalipata



👏👏👏👏🇹🇿🇹🇿🇹🇿 game limeanza sasa
Ichoboy hawaachi anawafata huko huko



Wenyewe wataona sifa kutajwa kwenye jambo ovu km hili, ila kinachowaonza hawa jamaa ni shobo.Geza kuna siku ulijadili hii maneno humu,
Aparrently in 2014, Kenyans were given a kilo of sugar in exchange for hamful test vaccine jabs - JamiiForums
Someni namba tano.


Huwa wanaandika humu eti tukikataa kuwauzia chakula wataenda Mexico kununua bila kujua ni GMO 🌽Wenyewe wataona sifa kutajwa kwenye jambo ovu km hili, ila kinachowaonza hawa jamaa ni shobo.![]()
Miaka michache ijayo KE itakuwa na kizazi cha mataahiraHuwa wanaandika humu eti tukikataa kuwauzia chakula wataenda Mexico kununua bila kujua ni GMO![]()



Sielewi kwanini wakoloni waliondoka na akili zaoMiaka michache ijayo KE itakuwa na kizazi cha mataahira![]()

Hizo zishanunuliwa na Wakenya ndo maana wanalalamikia serikali yao!Yaani serikali wangenunua shehena ya nafaka iliyopo kwenye malori yalizuiliwa kuingia kenya halafu wanapeleka ghala la taifa. Halafu wanazuia malori kwenda hadi siku zao 21 zipite tusije wapelekea covid 19 . Baada ya japo nidhamu itakua poa
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi BBC washukiwe! Nina uhakika mwandishi ni Mkenya!hii habari mim mwenyewe niliishangaa.. nikaanza kuona kama bcc nao wana agenda yao na Tanzania
View attachment 1453073
Kabla ya huko msamvu wangeanza na mbezi mwisho,maana foleni ya magomeni na ubungo inahamia mbezi,hali itakua mbaya sana pale maana eneo lenyewe ni dogo,wafanye kitu pale aiseeKama wanataka kuboresha round about ya Msamvu ni bora wafikirie interchange pale. Uzuri wa pale eneo ni kubwa la kutosha na hata kama kutakuwepo na kulipa fidia haitakuwa kubwa sana.